• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

BALOZI WA INDONESIA ATEMBELLEA OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA

Imetumwa : September 19th, 2023


Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Bw. Tri Yogo Jatmiko pamoja na ujumbe wake, wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ofisini kwake leo Septemba 19 kuzungumza kuhusu utaratibu wa kuhamishia ofisi za Ubalozi huo kwenye Mji Mkuu wa Serikali Dodoma kwa lengo la kutekeleza agizo la Serikali la kuhamishia Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika mazungumzo yao Balozi Jatmiko amesema mwezi uliopita Rais wa Indonesia alikuja Tanzania na kuonana na Mhe. Rais Samia ambapo moja ya mambo waliyozungumza kubwa lilikua ni swali kutoka kwa Mhe. Rais Samia kuhusu lini Ubalozi wao utahamia Dodoma. Kufuatia mazungumzo ya viongozi hao, Mhe. Balozi ameamua kufunga safari hadi kwenye ofisi hii ili kupata utaratibu wa ujenzi wa ofisi za Ubalozi kutoka kwa mwenyeji wao Mhe. Senyamule.


Akitoa ufafanuzi juu ya eneo lililotengwa kwa ajili ya Mabalozi wa nchi mbalimbali katika Mji wa Serikali Mtumba, Mratibu wa Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw. Meshack Bandawe, amesema kuwa Balozi zote zilizopo nchini zimetengewa maeneo maalumu na yenye ukubwa unaolingana wa heka 2.5 kwa eneo la ofisi na pia kuna maeneo kwa ajili ya makazi na watumishi wa Balozi hizo. Amewaonyesha ramani ya eneo lao ikiwemo majirani waliopakana nao ambao ni Ubalozi wa Burundi, Algeria, Namibia pamoja na Vietnam. Hata hivyo, amebainisha kuwa ujenzi wa Mji wa Serikali kwa sasa umefikia asilimia 70 hadi 80.

Mkuu wa Mkoa Mhe. Senyamule, ameupongeza Ubalozi huo kwa kufuatia taratibu za ujenzi wa ofisi za Ubalozi na kuhamia Dodoma kwakuwa ni wakati sahihi kwao kulingana na miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kujengwa Dodoma ikiwemo uwanja wa ndege wa Msalato ambao utarahisisha shughuli za safari za kuingia na kutoka Dodoma. Pia amezungumzia ujenzi reli ya kisasa ya SGR ni miradi mingine ya kimkakati itakayorahisisha shughuli za kibalozi zitakapokua ndani ya Mkoa wa Dodoma.

Balozi Jitmiko amesisitiza kupatiwa nyaraka zitakazohusiana na eneo lao ili aweze kuziwasilisha kwa Waziri wao na kujadiliwa kwenye Bunge la Indonesia kwa ajili ya kupangwa bajeti ya ujenzi ili uweze kuanza mara moja. Pia Balozi huyo amesema Indonesia ipo tayari kushirikiana na Tanzania kwenye maeneo mbalimbali ya kiteknolojia ikiwemo kwenye sekta za madini na umeme kwani huko kwako Wana teknolojia za kisasa.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.