• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CHANGAMOTO NDANI YA MASOKO KUPATIWA SULUHISHO DODOMA

Imetumwa : April 27th, 2023


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Senga Gugu amefungua kikao kazi cha kujenga uelewa wa namna ya kupata masoko ya nje kwa wafanyabiashara, viwanda na Wazalishaji kilichoongozwa na mshauri mwelekezi wa kampuni ya Gefrika inayotoa huduma za ushauri wa kiuchumi Bw. Amine Battikh kutoka Ujerumani.

Gugu amesema lengo la kikao ni kuweza kutatua changamoto zilizopo ndani ya masoko ya nchini na kuweza kufahamu fursa za masoko ya ndani na nje ya Tanzania na namna ya kuyafikia. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe tarehe 27/4/2023 katika ukumbi wa jengo la Sokoine jijini Dodoma.

"Lengo kubwa tulilopewa sisi ni dhamana ya kufanya kazi na ninyi na kuhakikisha tunatumia ipasavyo fursa za biashara, viwanda na uwekezaji zilizopo jijini Dodoma ambapo ndio makao makuu ya nchi. Ikumbukwe kuwa ninyi ndio wakuwafaharisha wanadodoma na Tanzania kwakuwa mna fursa ya kuwakutanisha na wadau ili kufahamu zaidi kuhusu biashara na kuuza kwenye masoko ndani ya kikanda na kitaifa Tanzania ni nchi ya mwanachama wa jumuiya ya nchi ya Afrika Mashariki tuna hilo soko lakini bado hatujauza ipasavyo

"sisi ni wanachama wa nchi za SADC tunasoko la nchi 15 bado hatujauza vyakutosha, tuna masoko ya kuuza bila kuwekewa ushuru wala kodi, tuna masoko ya umoja wa ulaya ambayo tunatakiwa kuuza kila kitu isipo kuwa silaha. Tunasoko la kuuza China asali, soya na mazao yoyote tunayoweza kuuza lakini hatujaweza kuuza ipasavyo, tuna soko la Uingereza ambayo imejitoa kwenye umoja wa ulaya kwa hiyo tuna fursa ya kutosha "amesema Gugu

Katika hatua nyingine Katibu Tawala wa Mkoa Dodoma Bw Gugu ametoa rai kwa wafanyabiashara wote kuhakikisha wanatumia fursa hiyo vizuri kwa kuleta matokeo chanya na zoezi hilo la kukaribisha wawekezaji litakuwa endelevu ili kuweza kuendeleza mahusiano mazuri na mataifa mengine.

"Lakini sisi sekretarieti ya Mkoa tutawatengenezea majukwaa kama haya ya kukutanisha na taasisi za umma ili muuze bidhaa zenu lazima mthibitishwe na mashirika ya viwango vya ubora TBS na wengineo, lengo letu ni watanzania kupitia wazalishaji na wafanyabiashara wa Dodoma mtumie fursa ipasavyo ili tuwe na fahari ya kutumia vya kwetu kuuza kwenye masoko ambayo tayari tumesha yapata serikali imefanya jitihada ya kutafuta masoko na hasa soko kubwa ambalo linaitwa 'Afrika Continental Reflected Area.’ Soko huru la biashara Afrika lina watu zaidi ya billioni 1.2 wanaohitaji kutumia bidhaa zetu kwahiyo fursa ni pana" amefafanua Gugu

Kwa upande wake Bw. Amine Battikh Mshauri mwelekezi wa kampuni ya Gefrika amesema yuko tayari kuwasaidia wafanyabiashara na wazalishaji hao kwa kuwapatia namna nzuri ya kutatua changamoto zao mbalimbali zinazowakabili kushindwa kufikisha bidhaa kwenye mataifa mengine.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.