• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA KUTUMIA GESI ASILIA MAJUMBANI

Imetumwa : October 30th, 2023

Uongozi wa Kampuni  inayojishughulisha na usambazaji wa gesi asilia kwa matumizi mbalimbali ikiwemo viwandani, usafirishaji na majumbani kutoka nchini Japan (JIKA), leo Oktoba 30, 2023, imekutana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma chini ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Rosemary Senyamule kujadili mpango wa kusambaza gesi asilia ndani ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni miongoni mwa mikoa mitatu iliyochaguliwa ambayo ni Dar es Salaam, Dodoma na Pwani.

Akifafanua sababu za kuichagua Dodoma kuwa moja kati ya mikoa itakayofanikisha mpango huo, Msimamizi wa Mradi wa gesi asilia kutoka JICA Bw. Shinji Omoteyama amesema Dodoma ni Mji ambao hauna msongamano mkubwa hivyo ni salama kwa upitishaji wa mabomba ya gesi yatakayochimbiwa ardhini.

Kadhalika, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule, ameipongeza JICA kwa kuichagua Dodoma kwani kwa Sasa ndio Mkoa unaokua na kujengeka kwa kasi huku miradi mbalimbali ya kimkakati ikitekelezwa.

"Dodoma inahitaji maendeleo mapya kwani ni Mji mpya unaokua kwa kasi kimaendeleo kutokana na ujenzi wa miradi mbalimbali kama vile kiwanja cha ndege cha Msalato, barabara za mzunguko wa nje (outer ringroad) na mingine mingi hivyo, uhitaji wa matumizi ya gesi ni mkubwa. Mkoa wa Dodoma una ramani ya mipango miji inayoainisha maeneo ya viwanda, makazi na miundombinu mbinu mingine. Ramani hiyo huwa inafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka mitano na kwa mara ya mwisho marekebisho yalifanyika mwaka 2019 ambayo yalitaka kuwepo kwa kituo cha kusambazia gesi asilia ndani ya Mkoa" Amesema Mhe Senyamule

Naye Mkurungenzi wa Mradi kutoka Wizara ya Nishati Mhandisi Joyce Kisamo, amesema mpango wa kusambaza gesi asilia kwa Mkoa huo ulianza tangu mwaka 2022 ukisimamiwa na Kampuni ya JICA na uliandaa usanifu kwa mikoa hiyo mitatu kwa ahadi ya kuongeza  mingine zaidi hapo baadae. Ametaja matumizi ya gesi asilia kuwa itatumika kwa matumizi ya nyumbani (kupikia) kwa kuunganisha mabomba kuelekea kwenye makazi ya watu na kwenye vyombo vya moto hivyo kuwa mbadala wa mafuta ya petroli.

Maeneo yaliyochaguliwa kwa ajili ya Mradi huo ni Mji wa Serikali (Mtumba), Iyumbu pamoja na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ujumla.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.