• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA YAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

Imetumwa : November 4th, 2024

Na Sofia Remmi.

Habari-DodomaRs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameongoza kikao kazi cha kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na Magonjwa ya Mlipuko.

Kikao hicho chenye Lengo la kupokea taarifa mbalimbali za wadau kutoka maeneo tofauti katika Mkoa na kuandaa mikakati shirikishi na harakishi kuzuia kusambaa kwa Magonjwa ya Mlipuko,kimefanyika tarehe 04 Novemba 2024,katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Jengo la Mkapa.

Akizungumza katika kikao hicho RC Senyamule amesema chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu,ni kutokuzingatia kanuni za Afya, hususani uchafu pamoja a ukosefu wa Maji safi.

“Mamlaka za Maji zichukue hatua juu ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa baadhi ya maeneo, na kila Mhusika awajibike kwa eneo lake ili mlipuko usitokee”

“Wananchi wapewe elimu kuhusu kanuni za afya ili waweze kuzingatia,wawe salama katika makazi yao ili kupunguza hatari kwa wananchi” amesema Senyamule.

Kwa upande wake Afisa Afya Mkoa wa Dodoma Dkt.Nelson Rumbeli amesema kila halmshauri iweke mikakati juu ya kuzuia na kuondokana na changamoto za afya katika kaya,kwa kuzingatia ubora wa vyoo,utumiaji wa maji safi,na kuondoa taka ngumu katika maeneo ya makazi ya watu ili kuepuka na kuenea kwa magonjwa ya mlipuko.

Aidha kikao hicho kilitoka na Maazimio yafuatayo;kuelekeza wataalamu kupita kila kaya kuhakikisha mazingira ya makazi ya watu yako salama,Kufanya kampeni ya kuhamasisha ujenzi wa vyoo,na mabadiliko ya tabia kwa wananchi.


#dodomafahariyawatanzania

#dodomatupotayarikujiandikisha

#kurayakosautiyako

#ujanjanikupigakura

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.