• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JAMII YATAKIWA KULINDA WATOTO DHIDI YA VITU VINAVYOWEZA KUHATARISHA AFYA YA MACHO

Imetumwa : October 9th, 2024

Na,Sofia Remmi

Habari-Dodoma Rs.

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dr.Hemed Nyembea ameyasema hayo leo wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Macho Duniani,yaliyofanyika  katika viwanja vya Kituo cha Afya Makole Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba 2024.

Akizungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo Dr.Nyembea amesema Jamii ihakikishe inalinda watoto kwenye vitu ambavyo vinaweza kuhatarisha afya zao za Macho kwa kujumuisha muda wanaotumia kuangalia Runinga,Simu pamoja na Kompyuta.

“ Kila mtoto anapaswa kula mlo wenye Vitamini A za kutosha ambayo vinatokana na vyakula kama karoti,maboga,Maini na aina nyingine za vyakula ili kupunguza idadi ya watoto wenye matatizo ya macho”

“Takwimu zinaonyesha kuwa takribani watoto Milioni 450 duniani wana matatizo ya macho ( uoni) yanayohitaji tiba, na wengi wao hawawezi kuifikia tiba hiyo kutokana na kushindwa kumudu gharama,kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Afya Duniani mtoto 1 kati ya watoto 1,000 wanaulemavu wa kutokuona” amesema Nyembea.

Kwa upande wake kaimu mganga kuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.Nelson Bukuru amesema katika Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Uoni Duniani ambapo Kitaifa yanafanyika Mkaoni Dodoma,na  kuhusisha uhamasishaji na upimaji wa afya ya macho kwenye vituo vya tiba, kwenye kambi, na mashuleni. Pamoja na kuelimisha jamii kupitia vyombo vya habari mbalimbali amesema hayo kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma.

Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu isemayo”Penda macho yako,Muhamasishe Mtoto apende Macho yake”.

#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.