• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JITAHIDINI KUPINGA UKATILI KWA WATOTO

Imetumwa : July 27th, 2023

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu amewaasa Maafisa Afya, Lishe , Elimu, Ustawi na Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri zote 8 za Mkoa huo kutekeleza Mpango wa Taifa wa Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM) ili kukabiliana na changamoto za ukatili kwa watoto wenye umri wa kati ya miaka 0-8.

Wito huo umetolewa leo Julai 28,2023 katika Kikao kazi cha kujadili namna ya kujenga uelewa na kutoa taarifa za utekelezaji za kazi zinazofanywa katika Halmashauri zote kwa robo nne ya mwaka na kujenga uelewa kuhusiana na utekelezaji wa programu hiyo iliyozinduliwa rasmi tarehe 21/09/2021 na kufikia maazimio ya utekelezaji wa majukumu waliyoazimia.

Kikao hicho kimefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

"Wataalamu wote mliopo hapa toka sekta zote 5, mfanye kazi kwa kushirikiana katika kutekeleza programu ya MMMAM kwakuwa mnahusika katika ulinzi na usalama wa mtoto mshirikiane ili kulinda tunu ya Taifa, Kila mmoja kuwajibika katika eneo lake kwa maslahi mapana ya Mtoto na Kuendelea kutoa elimu kwa jamii, viongozi wa dini na wa kimila juu ya kumlinda mtoto wa kike na wa kiume dhidi ya ukatili "ameeleza Gugu Aidha, Bw. Gugu amesema Programu hiyo Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, inalenga kutatua changamoto za ukuaji na maendeleo ya watoto wenye umri wa miaka 0-8 Programu na ina maeneo matano ya utekelezaji ambayo ni Afya bora kwa mtoto na mama/mlezi , Lishe ya kutosha kuanzia ujauzito ,Malezi yenye mwitikio ,Fursa za ujifunzaji wa awali pamoja na Ulinzi na usalama kwa watoto.

Kwa Upande Wake  Bw.,Sebastian Kitiku Mkurugenzi Wizara ya Maendeleo ya Jamii Idara ya Watoto ametaja aina za wanazokumbana nazo watoto wadogo wa chini ya Umri wa miaka 8 ikiwa ni Vipigo ,Kuchomwa na vitu vyenye ncha kali na kuungunzwa, ukatili wa ngono na ulawiti pamoja, ukatili wa Kijinsia na Ukatili wa kisaikolojia.

Katika kipindi cha miaka 2 ya MMMAM imefanikiwa kuwatibu watoto wenye utapiamlo mkali 1130 sawa na 99.7%, kuwasaidia wamama wajawazito 397,933 waliohudhuria kliniki kupewa vidonge vya madini chuma na Asidi ya Foliki ambayo inamsaidia mtoto aliyeko tumboni kuzaliwa bila matatizo.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.