• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMILISHENI MIRADI KWA WELEDI - GUGU

Imetumwa : May 19th, 2023

KAMILISHENI MIRADI KWA WELEDI - GUGU

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu amewaasa viongozi wa Wilaya ya Chamwino kukamilisha miradi kwa wakati pamoja na kuzingatia ubora unaokidhi viwango vinavyotakiwa.

Maagizo hayo yametolewa leo tarehe 18/05/2022 na Bw. Gugu alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali  katika Halmashauri ya Chamwino na kuongea na watumishi wa wilaya hiyo kwa lengo la kuweka mikakati bora ya utendaji kazi ili kutimiza azma ya maendeleo kwa uharaka.

"Tuna miradi ambayo inatakiwa kukamilika kwa muda mfupi ikiwemo miradi ya fedha za boost ambayo inatakiwa kukamilika hadi kufikia Juni 30, 2023 kwa hiyo viongozi tuhamasishane kutekeleza miradi hii kwa wakati na ubora unaotakiwa kwa muda mfupi lakini kwa weredi wa hali ya juu pamoja na kuzingatia kanuni zote za Serikali ili kuepukana na hati chafu zinazotokana na upotevu wa nyaraka mbalimbali za manunuzi" Gugu amesisitiza.

Hata hivyo Bw. Gugu amewausia watumishi wa Wilaya hiyo kuwa waadilifu kazini, kudumisha ushirikiano, kuheshimiana bila kujali nyadhifa walizonazo pamoja na kupendana ili kurahisisha utendaji kazi ikiwa ni pamoja na kutatua matatizo ya wananchi ngazi ya Wilaya kwa yale ambayo hayahitaji ngazi ya Mkoa kupata suluhu zake.

Kwa upande wake Katibu Tawala Msaidizi – Utawala na Utumishi Mkoa wa Dodoma Bi. Coletha Kiwale amepongeza juhudi za mwelekeo wa kumalizika kwa miradi mbalimbali ikiwemo Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze ambayo imefikia hatua ya umaziaji.

Katika ziara hiyo ya kikazi katibu Tawala amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya Sekondari Msanga ambavyo ujenzi wake unaendelea.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.