• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kampeni ya kukijanisha Dodoma yashika kasi

Imetumwa : January 12th, 2023

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameshiriki katika hafla ya upandaji miti iliyofanyika jijini Dodoma katika maeneo ya Ihumwa na Shule ya Msingi Msalato katika kuadhimisha  miaka 59 ya  Mapinduzi Zanzibar ambapo Mkoa wa Dodoma umeadhimisha kwa kuwa zoezi la upandaji miti.

Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Makamu wa Rais amesema  ili kuenzi Mapinduzi tukufu ya Zanzibar ni vema Taasisi zote na familia kuwa mfano katika upandaji miti ili kuyaenzi mazingira yetu tulioachiwa na wazazi wetu na kuendelee kudumisha ukijani ili Tanzania yetu iweze kuwa ya kijani.

"Ni vyema kupanda miti kila nyumba angalau miti mitatu, miwili ya matunda na mmoja wa kivuli ili tuendelee kudumisha ukijani wetu na tukiamua kushirikian tunaweza kutunza mazingira yetu na tusipande miti  ili mradi ni lazima tuzingatie upandaji wa miti rafiki kwenye  vyanzo vya maji  na miti ipandwe mbalimbali ili miti isidumae" Alisisitiza Dkt. Mpango.

Vile vile Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ni lazima kujua ardhi ambayo itastawisha miti kwa kufanya tafiti za miti inayostawi katika maeneo husika ikiwa ni pamoja na kuweka ‘’kinga moto” kuzuia kuunga kwa miti pindi ajali ya moto ikitokea na kusisitiza umuhimu wa kuwa na tanki la maji ambalo litasaidia kipindi cha kiangazi.

"Wito ulitolewa kwa kila mwanafunzi kupanda miti ambao ulikuwa na kauli mbiu "SOMA NA MTI" miti imepandwa kwa wingi na maeneo bado ni mengi,  Leo tunapanda miti katika eneo hili la shule ya Msalato ikiwa ni kielelezo cha kuonesha kwamba maagizo yaliotolewa yanafanyiwa kazi. Mhe. Makamu wa Rais, Jiji la dodoma lina maeneo ya wazi 162 na katika maeneo 40 yamepata watu wa kutunza" Amesema Mhe. Senyamule

Nae Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru amesema katika kuadhimisha siku ya Mapinduzi Zanzibar, katika eneo la Ihumwa imepandwa miti 1800 na Shule ya Msalato imepandwa miti 1000. Maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mkoa wa Dodoma yameongozwa na kaulimbiu isemayo "YAENZI MAPINDUZI YA ZANZIBAR TUNZA MAZINGIRA PANDA MTI KWANZA".

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.