• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMPENI YA MTI PESA YAZINDULIWA DODOMA

Imetumwa : April 11th, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

    Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya leo Aprili 11,2025 amezindua kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa .Kupitia kampeni hiyo jumla ya miti  ya matunda 2000 inatarajiwa  kupandwa katika Shule 4 za Msingi zilizopo katika  Mkoa wa Dodoma.Leo ikiwa ni  siku ya uzinduzi, miti 500 ya matunda imepandwa katika  Shule ya Msingi Mtumba Jijini Dodoma.

Sambamba  na uzinduzi wa kampeni ya Mti Pesa ,umefanyika pia uzinduzi wa klabu ya Elimu ya fedha. Kupitia klabu hiyo,wanafunzi watapata elimu ya fedha inayotolewa na taasisi ya Wanawake katika Sekta ya Fedha Tanzania ( TAWIFA).

“Leo  Jiji la Dodoma bado tunazidi kuifaharisha Tanzania yetu kwa kupanda miti kufuatia kazi kubwa ambayo imekuwa  ikifanywa na viongozi ya kurudisha hali ya ukijani katika jiji la Dodoma, ambapo pamoja na faida nyingine, miti hii itasadia kukuza uchumi wa wananchi “ - Bw. Mmuya

Kwa Upande wake Rais wa TAWIFA, Bi. Fikkira Ntomola amesema lengo la kampeni hiyo ni kuwajengea Wanafunzi kutunza Mazingira na kuweka nidhamu ya kufanya kazi kwa bidii katika elimu na kazi.

“ Tunapotunza mazingira yetu kwa kupanda miti hii ya matunda haitupi tu kivuli pia inasaidia kupata mvua za kutosha pamoja na kubadilisha hali za uchumi tunapouza matunda hayo na kutupatia fedha “ - Bi. Ntomola

Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Mtumba Mwl.Kepha kitutu amemuhakikishia Katibu Tawala utunzwaji wa miti hiyo kwani itasaidia shule hiyo katika kutunza mazingira, kuwapatia vivuli na wanafunzi kujipatia chakula chenye lishe.

Kampeni hiyo ya Mti pesa iliyozinduliwa leo imeasisiwa  na TAWIFA,na inatarajiwa kufanyika katika mikoa yote ambayo chama hicho kitakuwa kikifanya shughuli zake,huku ikitarajiwa kuleta mabadiliko katika sekta ya mazingira na uchumi .


&&&


#mtiwangubirthdayyangu

#dodomafahariyawatanzania

#keroyanguwajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.