• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KASI YA UJENZI WA BARABARA KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA

Imetumwa : March 27th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo Machi 27, 2024 amefanya ziara ya kukagua miradi mitano ya barabara na daraja moja ambayo ipo chini ya Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Dodoma kwenye Halmashuri ya Wilaya ya Dodoma Mjini.

Ziara hiyo imebainisha maendeleo mazuri ya ujenzi wa miradi hiyo kwani yote ipo kwenye hatua za umaliziaji. Licha ya hali hiyo ya kuridhisha, Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo ya kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati ili kuleta tija.

“Leo tumetembelea miradi 7 yenye jumla ya makadirio ya takribani KM 10 na barabara zote zipo kwenye viwango vizuri. Nimefurahi miradi hii imezingatia njia za watembea kwa miguu na taa kwani hizi ni muhimu kwa Makao Makuu”.

Hata hivyo, Mhe. Senyamule amesisitiza utunzaji wa mandhari ya Dodoma kwa kampeni ya kukijanisha Dodoma kwa kutoa maagizo kwa wakandarasi wote kupanda miti pembezoni mwa barabara pamoja na maelekezo mengine.

“Tulielekeza kila barabara iwe na mpango wa kupanda miti pembezoni kwani ni moja ya vipaumbele vya Mkoa. Hili lipewe uzito stahiki. Pia wakandarasi ambao walipoteza muda kipindi cha mvua, wafidie muda uliopotea pamoja na kusaidia kutengeneza maeneo ya barabara yaliyoharibiwa na mvua na kushindwa kupitika ili kuwasaidia wananchi” Mhe. Senyamule

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri ambaye ameambatana na Mkuu wa MKoa kwenye ziara hiyo, ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kubadilisha muonekano wa Jiji la Dodoma kwa miradi hii ya barabara kwani imegharimu jumla ya shilingi Bilioni 11 na inakwenda kwa kasi ya kuridhisha.

Ziara hiyo imetembelea miradi ya barabara ya mzunguko Mlimwa C kwa Shs. Bilioni 2.7 kiwango cha lami yenye urefu wa Km 2.7, Barabara ya kuzunguka makazi ya Waziri Mkuu, barabara ya eneo la uwekezaji Nzuguni kwa Shs. Bilioni 1.5, Barabara ya Ujasi kwa shs. Bilioni 1.4, barabara ya Bima inayoelekea Mahakama Kuu pamoja na Daraja la Ng’ong’ona, kiwango cha mawe kwa Shs. Milioni 136.5


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.