• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KONGWA KUNUFAIKA NA MABINGWA WA MACHO

Imetumwa : December 12th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametembelea na kuzindua kambi ya madaktari Bingwa wa macho inayofanyika katika hospitali ya Wilaya ya kongwa, ambapo dhamira kuu ya kuwepo kwa kambi hiyo ni kuwasaidia wananchi kujua hali za kiafya za macho yao na hizo zinatolewa pasi na gharama zozote.

Mhe. Senyamule amesema kuwa Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa Mikoa inayotekeleza mradi wa Macho Yangu unaotekelezwa na shirika lisilo la kiserikali la` Sightsavers` linalojishughulisha na utoaji wa huduma za macho.

“Shirika hili linajishughulisha na utoaji wa huduma za macho ikiwepo upimaji wa miwani, pamoja na hayo shirika litasomesha madktari wasaidizi wa macho wawili na wauguzi sita pia litanunua baadhi ya vifaa vya macho na kusaidia kuundwa kwa mabaraza ya watu wenye ulemavu na kuwezesha huduma za kliniki tembezi za macho kama hii iliyozinduliwa leo,’’ Mhe. Senyamule

Hatahivyo licha ya manufaa yanayopatikana kutokana na uwepo wa madaktari hao Mhe. Senyamule amesema miongoni mwa changamoto zinazojitokeza katika utolewaji wa matibabu hayo ni pamoja na baadhi ya wagonjwa kutofika katika vituo vya huduma mapema hali inayopelekea baadhi yao kupoteza uwezo wa kuona.

“Pamoja na jitihada zinazofanyika bado kuna changamoto inayotokana na baadhi ya wagonjwa kushindwa kufika katika vituo vya kutolea huduma mapema hadi pale wanaposhindwa kuona kabisa, Mradi huu umekuja kwa wakati na ni matumaini yangu kuwa huduma hizi za kibingwa zitawanufaisha wananchi wengi,” amesisitiza Senyamule

Kambi ya madaktari bingwa wa macho katika halmashauri ya kongwa itadumu kwa takribani siku nne kuanzia Disemba 11 -14/12/2023 huku wananchi wakipatiwa matibabu ya macho bila kuchangia gharama zozote hali inayopelekea wananchi na wakazi wa Wilaya ya kongwa kunufaika na ujio wa mabingwa hao.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.