• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA MUUNGANO VIONGOZI WA KIROHO JIJINI DODOMA WAKUTANA NA KULIOMBEA TAIFA

Imetumwa : April 24th, 2023

Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki maombi maalumu

ya kuliombea Taifa la Tanzania kuelekea maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano

yalioandaliwa na ofisi ya yake kwa kushirikiana na Kamati ya amani chini ya uongozi

wa Sheikh Mustapha Rajab Sheikh wa Mkoa wa Dodoma.


Lengo la maombi hayo ni kumuombea afya njema Rais wa Jamuhuri ya muungano

wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuombea Uchumi, kupinga uhujumu

uchumi, kukemea ukatili wa kijinsia na Ushoga, rushwa, ukatili kwa Watoto,

Watumishi wa Serikali wa ngazi zote, Vyombo vya ulinzi na usalama, hali ya hewa,

Makao makuu ya nchi na kuombea Muungano ili uendelee kudumu pamoja na

viongozi waasisi wa Muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar ambao ni

Mwalimu Julius K. Nyerere na Abeid Amani Karume.


Maombi hayo yamefanyika leo tarehe 24/4/2023 walipokutana viongozi mbalimbali

wa kiimani na serikali na kuhudhuliwa na viongozi wa Serikali miongoni mwao ni

Wakuu wa Wilaya ya Chemba, Bahi na Dodoma mjini, hafla iliyofanyika katika

ukumbi wa ‘Dear Mama’ jijini Dodoma.


“Tuendelee kuombea Muungano huu wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar uwe

wamfano siyo tu Afrika bali hata duniani kote watu waseme upo muungano nchi ya

Tanzania ambao hauyumbi uendelee kuimarika kila siku, tuombee viongozi wetu kila

siku waendelee kuongezewa hekima, maarifa, upendo na utayari wa kuendelea

kutumika kwa ajili ya Watanzania na nchi yetu iendelee kustawi kiuchumi, kuwa na

amani na utulivu ili kuendelea kukua katika kila sekta za kijamii.

“Kadhalika kuombea mambo ya maadili ya Vijana wetu na kutoa elimu kwa vijana

kuhusu maadili mema ya nchi yetu na kuwa mstari wa mbele kupinga mambo yasio

faa katika nchi yetu “Amesisitiza Senyamule.


Naye, Katibu Tawala wa Mkoa Dodoma Bw. Ally Senga Gugu amewashukuru

viongozi wakiimani kwa muutikio mzuri walio uonyesha na kuwa mstari wa mbele

katika kushirikiana kwa kila kitu ikiwa pamoja na maombi amewaasa kuwa na umoja

endelevu na kuendeleza maombi hayo ili mambo ya maendeleo Mwenyezi Mungu

aweze kuongeza baraka.


Aidha, maombi hayo ya kuombea taifa na maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano

wa Tanganyika na Zanzibar yamehusisha viongozi wa madhehebu ya

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.