• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KUPIGA KULA NI HAKI YA KILA MTANZNIA-RC SENYAMULE

Imetumwa : September 25th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Rosemary Senyamule ametoa Rai kwa  Wananchi kujitokeza kuboresha taarifa zao/ kujiandikisha ili waweze kutimiza haki yao ya kupiga kura.

 Mhe. Senyamule ameyasema hayo leo tarehe 25 Septemba 2024, wakati wa  chakula cha mchana na watumishi wa  ofisi yake,  ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kwa kila Jumatano ya mwisho wa mwezi ambapo pamoja na chakula,pia hutumia muda huo kuzungumza na Watumishi juu ya masuala mbalimbali,husikiliza kero zao pamoja na kuwapongeza ambao wanakumbukizi za siku zao za kuzaliwa.

Akizungumza na Watumishi hao RC Senyamule amesema kila mwananchi anawajibu wa kupiga kula kwaajili ya kumchagua kiongozi bora na ambaye anaona anamfaa katika kumletea maendeleo.

“Kupiga kura ni jukumu la kila mwananchi, hivyo kila mmoja ajitokeze katika kujiandisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kula na kuhakiki taarifa zake.

Uzalendo unaanza na mtu kuchukua hatua, hivyo kila mmoja atumie muda huu kwaajili ya kujiandikisha katika daftari hilo kwa hizo siku zilizowekwa katika Mkoa” amesema Mhe. Senyamule.


Kwa upande wake katibu tawala wa mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar K.Mmuya amesema kila mtu ajitokeze kujiandikisha/kuboresha taarifa zake,na si yeye tu,Bali na familia  familia yake.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.