• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KWA UFUPI YALIYOJIRI WAKATI MKUU WA MKOA WA DODOMA DKT. BINILITH MAHENGE ALIPOKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI NA KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA USALAMA BARABARANI TANZANIA SACP FORTUNATUS MUSILIMU, JANUARI 11,

Imetumwa : January 11th, 2018

KWA UFUPI YALIYOJIRI WAKATI MKUU WA MKOA WA DODOMA DKT. BINILITH MAHENGE ALIPOKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI NA KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA USALAMA BARABARANI TANZANIA SACP FORTUNATUS MUSILIMU, JANUARI 11, 2018

#Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Usalama Barabarani Tanzania SACP Fortunatus Musilimu hapa mjini Dodoma.

#Viongozi hao wamezungumza masuala muhimu yenye lengo la kuendelea kuboresha zaidi hali ya usalama barabarani hapa nchini. 

#Dkt. Mahenge: Ipo haja ya kuitazama Dodoma kwa jicho la kipekee na kuimarisha zaidi hatua mbalimbali za usalama barabarani kwa kuzingatia kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi, Serikali imeshahamia, idadi ya watu inaendelea kuongezeka kwa kasi na shughuli mbalimbali zinaongezeka.

#Dkt. Mahenge: Doria za Ulinzi na Ukaguzi barabarani ziongezeke hadi nyakati za usiku kucha kwa kuwa baadhi ya wahalifu hupendelea pia kufanya matukio ya kihalifu nyakati za usiku ambapo masuala ya ujangili, kupitisha magendo, madawa ya kulevya, uhamiaji haramu na masuala mengine hufanyika sana nyakati za usiku.

# Dkt. Mahenge: Nashauri Mkakati ujao upige kabisa marufuku tabia ya watu kuendesha vyombo vya moto wakiwa wamekunywa pombe jambo ambalo ni hatari na limesababisha athari kubwa kwenye baadhi ya Maeneo.

#Dkt. Mahenge: Baadhi ya Watu wamefanya mazoea tabia ya kutoka na vyombo vya usafiri vya moto na kwenda navyo maeneo ya burudani kunywa pombe na kisha kuendesha magari hayo wakati wa kurudi wakiwa wamekunywa pombe, mkakati mpya uelekeze kukomesha tabia hii.

 

#Kamanda Musilimu: Baraza limefikia hatua ya kufanya tathimini ya utekelezaji wa Mkakati wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini wa kipindi cha miezi sita kuanzia Julai 2017 hadi Disemba 2017 ambao kimsingi umemaliza muda wake ili kuweza kutengeneza Mkakati mpya

#Kamanda Musilimu:Tathimini hiyo itawezesha kubaini mafanikio na mapungufu yaliyopo kwenye Mkakati uliomaliza muda wake na kuwa tathimini hiyo ndio itasaidia kuandaa mkakati mpya utakao kuwa bora zaidi kuliko huu uliomaliza muda wake.

#Kamanda Musilimu: Mkakati unaofanyiwa tathimini ulikuwa umesheheni masuala mengi muhimu ambayo yalilenga kupunguza matukio ya ajali za barabarani kwa asilimia 10% kwa kipindi hiko cha miezi sita (Julai hadi Juni, 2017)

#Kamanda Musilimu: Mkakati uliomalizika muda wake wa kutekelezwa ulilenga kupambana na makosa yanayosababisha madhara makubwa kwenye ajali za barabarani, kuimarisha ukusanyaji, utunzaji na ukokotoaji wa takwimu za ajali za barabarani ili zisaidie katika mapambano ya ajali barabarani.

#Kamanda Musilimu: Mkakati pia ulilenga kuongeza nguvu katika utoaji elimu, mafunzo na uenezi katika suala la usalama barabarani. Aidha, Ulilenga kuimarisha mfumo wa usalama barabarani hapa nchini kwa kushirikisha wadau mbalimbali.

#Kamanda Musilimu: Mwisho Mkakati ulisisitiza dhana ya kulifanya suala la usalama barabarani kuwa Agenda ya Kitaifa na kupambana na rushwa na viashiria vyake dhidi ya ajali za barabarani.

 

Imetolewa na:

OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA

Januari 11, 2018

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.