• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAFUNZO YA MAADILI YATOLEWA KWA VIONGOZI WA UMMA

Imetumwa : February 8th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefungua mafunzo ya maadili kwa viongozi wapya wa umma wa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa mikutano wa Jakaya Kikwete ambapo mafunzo hayo yanafanyika kwa siku moja.

Mhe. Senyamule amesema sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ni Idara ya Serikali inayojitegemea ambayo imeanzishwa kwa mujibu wa ibara ya 132 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa na jukumu la kuchunguza tabia na mwenendo wa kiongozi yeyote wa Umma kwa madhumuni ya kuhakikisha masharti ya sheria ya maadili ya viongozi yanazingatiwa na viongozi husika.

‘’Yanapozungumzwa maadili ya viongozi wa umma baadhi ya watu hufikiria kazi ya viongozi ni kutoa tamko la rasilimali na madeni tu, la hasha, maadili ya uongozi yanahusisha pia misingi mingine muhimu kama ilivyo kwa utoaji wa tamko la rasilimali na madeni na yote hiyo ni pamoja na uadilifu, uwajibikaji, uwazi, kuheshimu sheria, kujali watu wengine, kujizuia na tamaa, kuepuka upendeleo na mgongano wa maslahi”Amesema Mhe. Senyamule

Vilevile Mhe, Senyamule amesisitiza viongozi wa Umma kuzingatia suala la maadili

‘’jitihada za kufanikisha mafunzo haya ni kielelezo cha dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya sita ya kuhakikisha kuwa suala la maadili kwa viongozi wa umma nchini linaeleweka sawasawa na kuchangia katika kukuza utawala bora nchini, kwa kuzingatia kwamba kutokujua sheria ya maadili si kinga ya kufanya makosa ni vyema kutoa elimu kuhusu maadili kwa viongozi ili wassijikute kwenye mtego wa kuvunja sheria’’ Mhe. Senyamule

Kwa upande wake Katibu wa Ukuzaji Maadili Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma Bw. Waziri Kipacha amesema mojawapo ya majukumu ya Sekretarieti hiyo ni pamoja na kutoa elimu kwa viongozi hao na kupokea matamko yao kuhusu rasilimali, maslahi na madeni yanayopaswa kutolewa kwa mujibu wa sheria ya maadili ya viongozi wa Umma.

‘’Katika mafunzo haya mada kuhusu sheria ya maadili ya viongozi wa umma, uwajibikaji wa pamoja katika sekta ya Umma, kanuni za udhibiti wa mgongano wa maslahi na kanuni za ahadi ya uadilifu na utoaji wa tamko la rasilimali na madeni zitatolewa na wakufunzi wetu mahiri na wenye uzoefu. Ni matarajio yetu kuwa mafunzo haya yatawaongezea uelewa viongozi wetu kuhusu misingi ya maadili, uwajibikaji wa pamoja, kuepuka migongano ya maslahi, kuzingatia ahadi ya uadilifu na ujazaji wa tamko la rasilimali na madeni’’Amesema Bw. Kipacha

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.