• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mhe. Mtaka Awataka Wananchi Wa Dodoma na Mikoa Jirani Kushiriki Kikamilifu Sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa

Imetumwa : July 21st, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Anthony Mtaka amewataka Wananchi wa Mkoa wa Dodoma kushiriki  kwa ukamilifu sherehe za Kumbukumbu za Mashujaa Duniani ambazo zitafanyika Kitaifa Mkoani humo. Mhe. Mtaka ameyasema hayo leo hii wakati wa Mkutano na Waandishi wakati akikagua  maandalizi ya viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma.

Akiendelea na ukaguzi huko Mhe.Mtaka ameonyesha kuridhishwa na Maandilizi yanayoendelea katika viwanja hivyo na kuwataarifu waandishi wa habari pamoja na Wananchi wa  Dodoma kuhusu uwashwaji wa Mwenge wa Mashujaa  ambao utawashwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  siku ya  24/7/2022  saa 6 usiku katika viwanja hivyo. Sanjali na hayo Mkuu wa Mkoa amewaeleza waandishi hao kuwa Mwenge huo wa Mashujaa utazimwa 25/7/2022 saa 6 usiku na Meya wa jiji la Dodoma Prof Davis Mwamfupe. “Matukio yote hayo yatakuwa Mubashara hivyo Wanadodoma na majirani zetu mfike ili tushiriki pamoja”. Amesisitiza Mhe. Mtaka   

Aidha Mhe. Mtaka ameeleza kuwa kutokana na umuhimu wa eneo hilo, Mkoa kwa kushirikiana na Jiji la Dodoma watahakikisha Eneo hilo linawekwa na kutunzwa vizuri kwa ajili ya kuwa  kivutio kwa watanzania,“tutakachofanya ni kupaongeza hadhi na kuwa eneo la kivutio litakalowavutia watanzania na wageni kuja kupatembelea, lazima Mnara na Eneo hili uwe tofauti na miara  ile iliyopo mikoa mingine.

Mkuu wa Mkoa amemtaja Rais wa Jamhuri ya  Muungano  wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Kuwa mgeni Rasmi katika sherehe za kumbukumbu za Mashuja. Aidha Mhe. Mtaka amemshukuru sana Mhe. Rais kwa kuupa heshima mkoa wa Dodoma kwani pamoja na mikoa mingi kuwa na minara ya Mashujaa, Dodoma ndipo mahala Sherehe hizo zitafanyika Kitaifa.“Hivyo ni vyema wanadodoma mkatambua fursa hii adhimu na kushiriki kwa wingi wenu. Nichukue fursa hii kuikaribisha mikoa jirani nanyi mfike kwa ajili ya kuwaenzi mashujaa wetu waliotusaidia kupata uhuru”. Amesisitiza Mhe. Mtaka.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.