• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MHE. RAIS KUZINDUA TRENI YA MWENDOKASI AGOSTI MOSI

Imetumwa : July 30th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema uwepo wa Treni ya  Mwendokasi  (SGR) unaongeza fursa ya biashara kwa wakazi wa Dodoma na Mikoa Jirani.

Hayo yamesemwa na Mhe. Senyamule mapema hii Leo Julai 30,2024 katika viwanja vya Makao Makuu ya stesheni hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kuwakaribisha wananchi kushiriki uzinduzi rasmi wa Treni hiyo utakaofanyika Agosti mosi na Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

" Hapa kwenye stesheni kuna maeneo ya kufanyia Biashara na hii ni fursa kwa wakazi wa Dodoma kufanya biashara katika maduka haya ili wasafiri wataokuwa wanasubiri treni waweze kupata huduma mbalimbali zinazopatikana hapa, na sisi Mkoa wa Dodoma tutakuwa na duka moja ambalo litakuwa linauza bidhaa zinazotokana na mazao yanalimwa hapa kama dhabibu, alizeti na karanga ",amesema Senyamule

Aidha Mhe. Senyamule ameweka bayana kuwa uwepo wa Bandari kavu ya Ihumwa itawarahisishia wafanyabiashara kupokea mizigo Yao Kwa wakati na gharama nafuu ukilinganisha na usafiri mwingine.

" Kupitia treni hii mji wetu unaenda kuwa 'logistics hub' kwa kuwa tunazo barabara za mzunguko kwahiyo mizigo kutoka Nchi mbalimbali kwenye meli na ikifika Bandarini itapakiwa kwenye treni na  itashushwa Kwenye bandari kavu ya Ihumwa na Mikoa jirani itachukua mizigo Yao kutokea hapa jambo ambalo litaongeza ukuaji wa Dodoma kama makao Makuu ya Nchi na biashara zitakua", amebainisha Senyamule

Uzinduzi rasmi wa Treni hiyo unatarajiwa  kufanyika katika viwanja vya Stesheni ya treni hiyo vilivyopo Mkonze Jijini Dodoma ambapo Mgeni rasmi Mhe. Rais atawasili katika viwanja hivyo kwa treni hiyo ya kisasa kutokea Jiji la Dar es salaam hadi hapa Jijini Dodoma.

&&&

#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.