• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MHE. SENYAMULE MGENI RASMI MKESHA WA MWAKA MPYA

Imetumwa : December 29th, 2022

Mwenyekiti wa Kamati ya Mkesha Mkubwa Kitaifa Askofu Godfrey Emmanuel Malassy ametangaza rasmi Mkesha Maalumu wa Kitaifa kwa ajili ya kuliombea Taifa unaofanyika kila mwaka tarehe 31 Desemba na mwaka huu utafanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia saa 12:00 jioni.

Akizungumza na waandishi wa Habari hii leo Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Askofu Godfrey Emmanuel Mallasy amesema Mgeni rasmi katika mkesha anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ambaye atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali waliopo Dodoma kwa lengo la kuliombea Taifa.

“Watanzania wote mnakaribishwa katika mkesha lengo kuu la mkesha ni kuliombea Taifa, Viongozi wetu watashiriki na katika hali yoyote Mungu analiangalia taifa kutokana na maono yake, dhumuni la mkesha ni kujielekeza kwa Mungu” Alisisitiza Askofu Mallasy.

“Kila mmoja angependa ajue anamalizaje mwaka na mwaka unaofuata atauanzaje, tutapata fursa au kibali kutoka kwa Mungu kuweza kuliweka taifa letu mbele zake, tunapomaliza mwaka na kuingia mwaka mwingine. Maombi haya yalianza mwaka 1997 Dar es Salaam” amesema Askofu Mallasy

Aidha, Mkesha wa mwaka huu utarajiwa kufanyika katika mikoa 6 tofauti ambayo ni Dodoma, Kilimanjaro, Iringa, Arusha, Morogoro na Singida. Huu ni mwaka wa tisa mkesha huu unaandaliwa na unafanyika pia visiwa vya Zanzibar ili kuunganisha nchi na huu ni mwaka wa 2 kufanyika katika Mkoa wa Dodoma.

Kaulimbiu ya mkesha huo kila mwaka ni “Amani,Utulivu na Ustawi, Nchi nzima sauti Moja” Mkesha wa kuliombea Taifa ulianza kufanyika mwaka1997 na huu ni mkesha wa 25.

Mkesha wa kuliombea Taifa umeandaliwa na Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches (TFC) kwa kushirikiana na makanisa mengine yaliyopo Mkoa wa Dodoma na utajumuisha waumini wa dini zote huku ukiambatana na burudani za kusifu na kuabudu kutoka kwenye kikundi cha The Unity Praise Team pamoja na waimbaji binafsi.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.