• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MIRADI YA BARABARA YAIFANYA KUWA YA KIMKAKATI

Imetumwa : March 18th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amesema kuwa Dodoma ni Mji wa kimkakati kutokana na miradi mingi ya usafiri na usafirishaji kuwekezwa na Serikali kuu.

Hayo yamebainishwa leo wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara 2023/24 kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa jengo la Mkapa Jijini Dodoma kilichobeba dhima ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Barabara za Mkoa kwa bajeti ya 2023/24 pamoja na kupitia mapendekezo ya Mpango wa bajeti ya 2024/25.

“Uunganishaji wa baadhi ya Barabara zinazoingia kwenye Mradi wa SGR pamoja na Barabara za mzunguko, zinaifanya Dodoma kuwa ya kimkakakti zaidi. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 230.292 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Barabara kupitia TANROADS na TARURA.

“Mtandao wa barabara kwa Mkoa ni jumla ya Km 9248.12 kwa barabara zilizo chini ya TANROADS na TARURA zinazoweza kutengenezwa kwa kiwango cha Lami na kusababisha barabara nyingi kupitika na kuimarika. Kutokana na uwekezaji huo, hakikisheni tutakapofika mwisho wa mwaka huu barabara zote ziwe zinapitika.” Amesema Mhe. Senyamule.

Mpaka Sasa, Barabara za Lami asilimia 85.6 zipo kwenye Hali nzuri na asilimia 72.85 za Changarawe zipo kwenye Hali nzuri pia.

Kikao hicho kimeridhia maazimio kadhaa ikiwa ni pamoja na TRC waelekezwe kuweka alama na tahadhari kwa watumiaji wa barabara.TANROADS kuweka mkakati wa kuwezesha barabara zilizo ingia SGR kukamilika ifikapo mwezi Julai 2024.


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.