• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkoa wa Dodoma Kuwatambua na Kutatua Changamoto za Wanafunzi Watakaojiunga Kidato cha Tano 2022

Imetumwa : May 26th, 2022

Mkoa wa Dodoma Kuwatambua na kutatua changamoto za Wanafunzi Walichanguliwa Kidato  Cha Tano 2022.

Akizungumza na Vyombo vya Habari, Mhe.Mtaka amewaeleza waandishi kuwa Ofisi ya RC Dodoma kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali itahakikisha inampatia  Mwanafunzi Mariam mahitaji yake yote yatakayomwezesha kumaliza kidato cha sita. 

Aidha Mhe. Mtaka amewataka Wanafunzi wote wanaokabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi hususani wale ambao wamemaliza kidato cha 4 katika shule za kata na kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano kuwasiliana na Ofisi za Wakuu wa Wilaya katika maeneo waliyopo na kisha Afisa Elimu wa maeneo hayo ili kuelezea changamoto zao na kuona namna bora ya kuzitatua.

Mhe. Mtaka ametoa angalizo kwa wazazi kutokutumia wito huo vibaya na kukwepa majukumu yao kwa kujifanya wajane na wagane na hata yatima wa muda.

Mhe.Mtaka amemtaka mwanafunzi Mariam kuwa  na moyo wa masomo na kuhakikisha ufaulu wake unaongezeka na kufikia divisheni ya kwanza ya point tatu. 

Mwanafunzi Mariam Leonard Mchilo ni mtoto wa tano katika familia ya watoto 6 wa Bwana na Bibi Mchilo. Elimu yake ya Msingi aliipata katika shule ya  msingi Ndachina na  elimu ya Sekondari katika shule ya Sekondari Songambele Kilimani, Wilayani Kongwa. 

Katika mtihani wa kidato cha Nne ambao alifanya mwaka jana 2021,Mariam alipata daraja la kwanza lenye pointi 16 na kuwa Msichana pekee kati ya wanafunzi wanne waliopata daraja la kwanza. 

Kulingana na mazingira magumu katika familia yake Mariam aliazimia kusoma kwa bidii ili aweze kusaidia familia yake, hali iliyompelekea mara baada ya kumaliza mitihani yake ya kidato cha nne kutafuta kibarua cha mama lishe na hatimae kazi za ndani.Baada ya habari zake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii Wafadhili mbalimbaki waliojitokeza kumsaidia Mariam. Wafadhili hao pamoja na aliyekuwa Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai (MB)!mbaye anamhifadhi Mwanafunzi huyo hadi atakapoenda kidato cha 5, Mwanza University ambao watamlipia ada ya shule kidato cha 5-6 na fedha za kujikimu pamoja na ufadhili wa masomo ya  Chuo kikuu Mwanza, Equity bank ambao wamemfungulia akaunti isiyo na gharama yeyote na kumuwekea kiasi cha Tsh.300,000/-. Mwisho.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.