• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA DODOMA WAADHIMISHA KIPEKEE SIKU YA KUZALIWA KWA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN

Imetumwa : January 27th, 2024

Mkoa wa Dodoma ukiongozwa na Mhe. Rosemary Senyamule leo Januari 27/2024 umeadhimisha  kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutembelea kituo cha Taifa cha watoto wenye mahitaji maalum cha Samia Suluhu Hassan kilichopo kikombo Jijini Dodoma.

Akihutubia Makutano waliojitokeza katika kuadhimisha siku hiyo Mhe. Senyamule amesema Mkoa wa Dodoma unayo mambo mbalimbali ya kujivunia yaliyofanywa na Rais huyo ikiwemo kujengwa Miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoani humo.

"Mhe. Rais amebeba majukumu ya pande zote Kama kiongozi, mama na raia namba moja wa Tanzania, leo sisi wanadodoma tunayo Miradi mbalimbali tunayojivunia iliyotokana na utashi na kutupatia Fedha za kutekeleza Miradi hiyo ya maendeleo ambayo inawagusa wananchi moja kwa moja, wanadodoma tunamuombea kheri katika uongozi wake," amesema Senyamule

Hata hivyo Mhe. Senyamule amempongeza Rais Samia kwa kuendelea kutenda haki, kuweka vipaumbele kwa Mambo yanayogusa jamii, kuwa mstahimilivu pamoja na kuhakikisha Watanzania wanakua na Amani na furaha.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, mhe Jabir Shekimweli amesema kituo hicho cha taifa kinaweza kuwa sehemu ya kuibua vipaji vya michezo miongoni mwa vijana mbalimbali wanaoishi katika mazingira hayo ndani na nje kwani wanayo miundombinu wezeshi na rafiki katika kuchagiza vipaji vipya vya michezo.

Awali Mhe.Senyamule akifuatana na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Wizara ya maendeleo ya jamii, viongozi wa Wilaya na wadau mbalimbali wa maendeleo ya jamii wameshiriki  zoezi la upandaji Miti ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.