• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS SAMIA AMEOKOA MAISHA YA WATOTO NJITI-NDG CHATANDA

Imetumwa : November 24th, 2023

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda, amesema Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameokoa maisha ya watoto njiti kwa kuongeza wodi ya Mama na Mtoto kwenye Hospitali ya Wilaya ya Bahi.

Ameyasema hayo leo 24 Novemba 2023 katika ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi na kuongea na wanachi Katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.

“Hatuna budi kumshukuru Rais wetu Mama Samia kwa kuleta wodi yingi za Mama na Mtoto na kuokoa maisha na vifo vya watoto njiti kwani maisha yao yalikuwa hatarini.

“ lakini tunaona wananchi wanavyofurahia huduma zinazoletwa kwao kwani ni bora na sahihi kwa watoto” Amesema Chatanda.

Pia Chatanda, amefanya ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Nyumba ya Katibu wa UWT WIlaya ya Bahi yenye thamani ya Shilingi 7,900,000 Hospitali ya Wilaya yenye thamani ya shilingi Bilioni 3.2, na Shule Mpya ya Sekondari ya Chali yenye thamani ya shilingi Bilioni 544 na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua

Vilevile, kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Godwin Gondwe, amesema makusanyo ya ndani katika Halmashauri yake yamefikia zaidi ya Bilioni 1.3 na kwa ujumla ambapo bajeti ambayo mpaka sasa Halmashauri imepokea fedha kutoka Serikali Kuu kiasi cha shilingi Bilioni 29.

“Mapato yameongezwa kwa kipindi hiki cha Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan hadi kufikia asilimia 54 na yanasaidia shughuli za Wilaya ya Bahi huku asilimia 20 zikisaidia maendeleo na asilimia 80 zikitumika kwa matumizi mengine ya kawaida ya Halmashauri” Amesema Gondwe.



Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.