• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS SAMIA ANA NIA NJEMA KWA WANANCHI WAKE RC SENYAMULE

Imetumwa : March 12th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo  amebaini kuchelewa kuanza kwa Mradi wa kituo cha afya cha Ihumwa kilichopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma ambacho kinajengwa na Mkandarasi mzawa.

Ziara hiyo imefanyika Leo Machi 12, 2024 ambapo mbali na kituo hicho cha afya cha Ihumwa pia amekagua mradi wa Barabara ya Kizota kwa kiwango cha lami iliyo chini ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS)

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan analeta miradi hii ili kupunguza changamoto kwa wananchi wake na hatutegemei kuona bado watu Mko nyuma kwani miradi hii inakuja kwetu nyie wakandarasa wazawa kwani Serikali inatenda haki kwa kila mtu.

“Sitegemei kuona uzembe wowote ukijitokeza kwenye miradi inayoletwa kwani wakandarasi wengi wapo kwenye hatua ya kwanza na nguvu kazi za vijana ni muhimu ili kukamilika kwa wakati kwa miradi inayoletwa na kuzitendea haki fedha zinazotolewa na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na ubora” Amesema Senyamule.

Kituo cha afya cha Ihumwa kinajengwa kwa fedha za Seeikali kiasi cha shilingi Bilioni 2.3 ambapo miradi inayotekelezwa ni ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la wazazi, Jengo la Mama na mtoto, Jengo la utawala, Maabara, Jengo la kipimo cha Xray, Jengo la kufulia, Vyoo vya nje na kibanda cha Mlinzi.

Pia amekagua mradi wa uchimbaji wa visima vya maji katika eneo la Ihumwa ambao umetumia kiasi cha Fedha shilingi Bilioni 1.3, Ujenzi wa Barabara ya kizota kwa kiwango cha Lami urefu wa Km7 unaogharimu kiasi cha Shilingi 8.6 na ujenzi wa shule ya msingi katika eneo la Chilwana Ihumwa unaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 ambayo itajenga Madarasa 16, Jengo la utawala, vyoo vya nje na uwanja wa mpira.

Kwa upande wake Meneja wa TANROADS Bi. Zuhura Amani, amesema kama wanufaika wakubwa na wasimamizi wa miradi hii watahakikisha inamalizika ikiwa na ubora  unaotakiw na kukamilika kwa wakati.















Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.