• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AMESHIRIKI KIKAO CHA USTAIMILIVU NA MABADILIKO TABIANCHI

Imetumwa : September 26th, 2023

Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo Septemba 26, 2023 amefungua kikao kazi cha kupitia Utekelezaji wa Mradi wa kuongeza Ustahimilivu wa Mabadiliko ya tabianchi na kuboresha mifumo ya ikolojia kilicho andaliwa na Shirika la CARE International katika Ukumbi wa Nyerere -Morena Jijini Dodoma

Akizungumza wakati wa Kikao hicho amesema Mradi huo ni bora na wakuigwa kwa jamii hivyo ametoa rai kwao kuangalia namna ambayo itasadia kuongeza uwezo wa kutoa elimu ya Mazingira na kuzuia uharibifu utokanao na shughuli za kibinadamu na kupunguza athari za mabadiliko ya Tabianchi na pia kuendelea kuboresha Sera, Mipango na Sheria zilizopo.

Aidha, Mhe.Senyamule amesema mbali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi shughuli za kibinadamu zimekuwa sehemu ya changamoto kwa kuchochea kuharibu ufanyaji kazi wa mfumo wa ikolojia kama vile ukataji miti, uvamizi wa misitu na uvunaji wa wanyama bila kufuata taratibu za uhifadhi, kulima kwenye vyanzo vya maji, kuvamia hifadhi kwa ajili ya kuongeza uzalishaji.

"Hivo vyote vimechangia kubadilisha utendaji wa mifumo ya ikolojia na huduma zake mfano upatikanaji wa maji ya uhakika, ardhi kutokuwa na rutaba, mmomonyoko wa udongo, kupotea kwa baadhi ya spishi za mimea ama wanyama." ameeleza Senyamule

Mhe. Senyamule amesema Mradi huo utatekelezwa katika Wilaya tano za Kiteto, Simanjiro, Same, Chemba na Wilaya ya Mufindi ambapo Wakuu wa Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara wamekutana ili kuona nini kimepangwa kwenye Mradi na jinsi gani wataweza kushiriki kwani wao ndio walengwa wa moja kwa moja kwa kushirikiana na wanajamii.

Naye, Kaimu Mkurugezi Mkaazi wa Shirika la CARE Tanzania Bi.Haika Mtui amesema lengo la Mradi huo ni kufanya mifumo ya ikorojia kuweza kutoa huduma sahihi katika kuboresha chakula ili jamii iweze kutumia rasilimali , kujiongezea kipato chao pamoja na kuhimili mabadiliko ya tabia nchi na kutunza Mazingira

kwa Upande wake, Kaimu Mkurungezi wa Wilaya ya Chemba Bw. Said Sambala amesema kupitia kupitia Mradi huo wanakwenda kuboresha suala la mazingira na kuwafikia Wakulima wengi kwa kuwawezesha kuwa na kipato pamoja na kujitosheleza kwa Cha

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.