• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE ATUNUKIWA TUZO YA DR. SAMIA MWANAMKE KINARA KANDA YA KATI

Imetumwa : May 14th, 2025

Na; Happiness E. Chindiye

Habari - Dodoma RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule leo Mei14,2025 amekabidhiwa tuzo ya Mwanamke kinara Kanda ya Kati kutoka ‘Central Women Connect, Mwanamke Kinara Awards’ ambao ni waandaaji wa tuzo hizo,ambapo makabidhiano yamefanyika nje ya ofisi yake (Jengo la Mkapa).

Tuzo hizo  za Dr. Samia Mwanamke Kinara, ni tuzo zilizoandaliwa kwa ajili ya kutambua nguvu ya mwanamke kwenye jamii. Zilitolewa tarehe 10/5/2025 katika ukumbi wa Lavenda Hotel Jijini Dodoma.

“ Hii tuzo ni ya wanawake wote wa Mkoa wa Dodoma ,twendeni tukaonyeshe kuwa Wanawake tunaweza, na kuwa mstari wa mbele kwa kuboresha taarifa kwenye Daftari la kudumu la mpiga kura ili tupate nafasi ya kupiga kura” - Amesema Mhe.Senyamule

Akizungumza kabla ya kukabidhi tuzo hiyo kwa Mkuu wa Mkoa,Mratibu wa ‘Central Women Connect Mwanamke Kinara Awards’ Bi. Rashida  Mfaume amesema sababu za kumtunuku tuzo hiyo ya viwango vya juu na ambayo haishindaniwi, ni kutokana na heshima aliyonayo kama Mwanamke Kiongozi kwa kusimamia vyema miradi ya kimkakati.

“Kazi umeiendeleza katika sekta mbalimbali za maendeleo ndani ya Mkoa huu, zikiwepo usimamizi wa miradi, kuna ambayo imeshakamilika na mingine bado inaendelea, hivyo tunajivunia wewe, na unastahili kuwa mshindi wa tuzo hii”. - Bi. Mfaume


&&&


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.