• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AWAHIMIZA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUJIAJIRI

Imetumwa : November 18th, 2024

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS

Vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanaotarajiwa kumaliza elimu hiyo, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la siku mbili la vijana lililoandaliwa na Taasisi ya Strategius Advisory Limited kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma litakalofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari kutangaza Kongamano hilo, Mkuu wa Mkoa huu Mhe. Rosemary S. Senyamule, amesema lengo Kongamano hilo ni kuwatambulisha vijana hao fursa mbalimbali zilizopo katika Mkoa wa Dodoma ili waweze kuzitumia kupata ajira au kujiajiri.

“Mkoa wa Dodoma una vijana 30% takribani vijana 1,035,000 kwa mujibu wa sensa ya 2022. Hili kundi ni kubwa ambalo linatakiwa kuwekewa mikakati maalumu Lengo kubwa ni kuwafanya vijana hawa ambao tayari wana ujuzi na elimu flani kutoka vyuo walivyosoma lakini wakitoka wanajiuliza wanakwenda kufanya nini,kuona fursa ambazo wanaweza kuzitumia kujiajiri” Mhe. Senyamule

Ameongeza kuwa Serikali imejipanga vilivvo katika kuwawezesha vijana wanaomaliza vyuo kwa kuwatengenezea mazingira ya kujiajiri.

“Serikali imetengeneza fursa nyingi, inayo fedha, mitaji, maeneo na vitu vingine vingi ambavyo baadhi ya vijana hawafahamu, Lakini vilevile wapo watu ambao tayari wameshazitumia fursa hizo na bado wenzao hawana taarifa ili waweze kuwatia moyo kuwa maisha huku nje si mabaya kama wanavyofikiria kwani mazingira ya kujiaji tayari yapo”

Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Lilian Mkumbo, amesema Kongamano hilo litafanyika Novemba 19 na 20, 2024 na utaratibu maalumu wa kujisajili umeandaliwa ili kuweza kupata kumbukumbu za watakaoshiriki ambapo ni bure kupitia tovuti ya maandalizi inayojulikana kama www.grem.co.tz


#kurayakosautiyako              

#ujanjanikupigakura              

#dodomatukotayarikupigakura

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.