• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SEKTA YA ELIMU IMEPEWA KIPAUMBELE MIAKA MINNE YA SAMIA

Imetumwa : March 21st, 2025



Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS


Sekta ya Elimu inatajwa kupewa kipaumbele cha hali ya juu na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na fedha nyingi kutolewa na Serikali yake kwa ajili ya Ujenzi wa miundombinu ya Elimu kuanzia ngazi ya awali hadi vyuo vikuu.


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, ameyasema hayo Machi 21, 2025 alipoalikwa kufungua Mkutano wa Baraza la 11 la wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria katika Kampasi ya Dodoma Jijini humu.


"Katika historia ya Nchi Yetu, hakuna kipindi miundombinu ya elimu imejengwa kwa wingi kama wakati huu wa miaka minne ya Rais Samia, na hii sisi tunaiona kwa kuwa imejengwa kuanzia ngazi ya awali, chini kabisa mpaka Vyuo Vikuu, tumeshudia mabadiliko makubwa sana.


Katika miaka ya 60, Dodoma tulikua na madarasa 5,556 lakini katika miaka hii, tunajenga madarasa 1,661 tukapiga hesabu, kama angekua anajenga madarasa haya kwa spidi ya miaka ile, angetakiwa kutumia miaka 18 kujenga haya 1,661 kwa hiyo tukasema spidi hii ni ya kupongezwa" Ameongeza Mhe. Senyamule.


Awali, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Elifas Bisanda, amesema hivi karibuni wamesaini Mkataba mpya wa Ushirikiano wa kuunda Baraza na chama cha Wafanyakazi ambapo katika mkataba huo wameweka uwezekano wa kufanya Mikutano kwa njia ya TEHAMA hivyo, Baraza hilo sasa litafanya mikutano miwili kwa mwaka.


Aidha ameongeza kuwa, Chuo chake kimeahidiwa kupatiwa eneo la ekari 50, nyuma ya Kiwanja cha ndege Msalato kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Tanzania hapa Dodoma ambacho kilitolewa maelekezo na Makamu wa Rais mnamo Desemba 14, 2022.





#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.