• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AHUDHURIA MASHINDANO YA QURAN, AWAPONGEZA KWA KUANDAA KIZAZI CHA HAKI NA USAWA

Imetumwa : April 1st, 2023

SENYAMULE AHUDHURIA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU, AWAPONGEZA KWA KUANDAA KIZAZI CHA HAKI NA USAWA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amehudhuria maadhimisho na shindano la kusoma na kuhifadhi vitabu vitakatifu vya mwenyezi Mungu (Quran) na kuwapongeza waandaji wa maadhimisho hayo.Senyamule amesema Maadhimisho hayo yanatengeneza vijana ambao ni waaminifu na nguzo muhimu kwa Taifa la kesho kwani litakuwa na viongozi wenye hofu ya Mungu ambao watawatumikia wananchi kwa haki na Usawa.

"Niwapongeze kwa kuandaa Jambo hili, mnaweza mkaona Jambo la kawaida lakini Jambo hili sio la kawaida kwasababu watoto wenye Imani wanaojengwa kwenye imani Wanamuheshimu mwenyezi Mungu lakini pia ni wale ambao watasimama kwenye Maadili watakuwa watu ambao wanaaminika kwenye jamii, niwapongeze mnatengeneza vijana waaminifu."Mheshimiwa Rais amekuwa baraka kwa nchi yetu ya Tanzania na Mimi kila siku najiuliza Mheshimiwa Rais amepata wapi moyo huu Leo nikajifunza kuwa amepata kulingana na mizizi ya Imani yake ametufanya tushikamane na tupendane Watanzania wote na maendeleo yanaonekana nampongeza Sana" Amesema Senyamule.

Hata hivyo Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ambae ndiye muaandaaji wa maadhimisho hayo amesema lengo la kuanzishwa kwa maadhimisho hayo ni kuwafanya watu kukumbuka maneno ya vitabu vitakatifu vya mwenyezi Mungu na kulinda Maadili yetu. "Mashindano haya yanafanyika kwa Kanda katika kata zote 19 za Jimbo la Kondoa na dhamira kuu ni kuwafanya watu waendelee kukumbuka maneno matakatifu ya mwenyezi Mungu kupitia mashindano na motisha zinazotolewa ili kuendelea kuwa na vizazi vyenye hofu ya Mungu",Amesema Dkt. Kijaji.

Nae Sheikh Mustafa wa mkoa wa Dodoma Amesema watu wanatakiwa kujua kuwa dhamira kuu ya maadhimisho hayo ni kutafuta thawabu kwa mwenyezi Mungu na sio kutafuta kura na ndio maana yanafanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.Aidha katika maadhimisho hayo Dkt. Ashatu Kijaji kwa kushirikiana na Temdo Watengenezaji wa vifaa tiba Arusha wamekabidhi vitanda 10 vya wagonjwa na vya akina mama wakati wa kujijungua kwa Zahanati na vituo vya Afya vya wilaya ya Kondoa.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.