• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AMEFUNGUA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA UDHIBITI WA BIDHAA BANDIA DUNIANI

Imetumwa : June 13th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo tarehe 13 Juni 2023 ameshiriki kufunga  Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa bidhaa bandia Dunia yaliyofanyika  katika ukumbi wa mikutano  Mabeyo Complex Jijini Dodoma.

Akizungumza na wadau  walioshiriki katika maadhimisho hayo Senyamule amesema Serikali inatambua jitihada zinazofanywa na Fair Competition Conservation (FCC) katika masuala ya udhitibiti wa bidhaa bandia ambayo inapoteza mapato Serikalini na kudunisha ari ya wawekezaji kutimiza dhamira zao  kwa tija zaidi.

Amesema ni dhahiri Makao Makuu ya FCC yapo hapa Dodoma, hivyo maadhimisho ya leo yameleta viongozi, wafanyabiasha na wadau mbalimbali nje ya Dodoma

“Ninashukuru kwa uamuzi wenu wa kuadhimisha Maadhimisho katika Mkoa wetu kwakuwa hatua hiyo inaleta fursa za kibiashara kwa wenye vitega uchumi mbalimbali na maeneo mengine ikiwa ni pamoja na kujengea uwezo wa wananchi wetu kupitia Elimu mlizokuwa mkizitoa kuhusu masula ya bidhaa bandia kupitia vyombo vya Habari na semina kwa wanavyuo wa vyuo vikuu hapa Dodoma.

“Jitihada zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwaletea maendeleo wananchi wake inakwenda sambabamba na wananchi kupata fedha au mikopo ya uwekezaji kiuchumi kupitia Halmashauri zetu ambapo vikundi mbalimbali vya uzalishaji vyenye sifa na vigezo vinavyosajiriwa kupitia Idara za maendeleo ya Jamii vimekuwa vikinufaika kupitia uwekezaji huo” Amesema Senyamule.

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa  na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya muungano wa Tanzania,imeboresha mazingiara ya uwekezaji nchini, hivyo hatua ya kuongeza ufanisi katika udhibiti wa bidhaa bandia kwa kukuza ubia wa kushughulika na janga la bidhaa bandia.

Maadhimisho hayo yameongozwa na Kaulimbiu isemayo “Kukuza ubia ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi katika kudhibiti bidhaa bandia”

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.