• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AWAPONGEZA MABINGWA CECAFA

Imetumwa : March 10th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewapongeza Mabingwa wa CECAFA kwa upande wa Shule za Sekondari Fountain Gate kwa kuibuka mabingwa na kuupa heshima Mkoa wa Dodoma.

Amewapongeza leo katika hafla ya kupata chakula cha pamoja na wafanyakazi wa Ofisi yake pamoja na kukabidhi kombe kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma, hafla iliyoenda sambamba na utoaji wa vyeti vya pongezi.

"Niwapongeze kwa kazi nzuri kuhusianisha mchezo na elimu kwa vijana wetu na kutoa matunda sahihi kwa kutupa heshima Mkoa wa Dodoma, niwapongeze kwa kutekeleza kazi kubwa, maelekezo, sera na dhamira ya Serikali katika kuinua michezo na kuliheshimisha Taifa. Serikali yetu inataka michezo ndio maana zipo Sheria na Sera za kuimarisha mchezo kwa kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa namna imekuwa na Mikakati na mipango ya kutamani nchi yetu ifanye vizuri kwenye michezo hasa michezo maarufu duniani ikiwa ni pamoja na mpira wa Miguu (Football)” amesema Senyamule

Naye Mkurugenzi wa Fountain Gate Bw. Japhet Makau amesema tumekuwa tukihakikisha tunakuza vipaji vya watoto  ikiwa ni pamoja na kuimba, utangazaji na michezo kwa lengo la kuhakikisha elimu na mchezo vinaenda Pamoja.

"Tumefanikiwa kupeleka mabinti wa wawili nchini Moroco wanachezea match za huko, watoto wa nne wanasoma Marekani kwa miaka minne na mwaka huu mwezi wa sita tunatarajia mabinti wa wawili kwenda Spain wamealikwa kwa ajili ya Mashindano" amesema Makau.

Kupitia ushindi huo timu ya Fountain Gate wamefanikiwa kujinyakulia kiasi cha Shillingi Millioni Mia Mbili za Kitanzania kama washindi wa Michuano hiyo sambamba na kombe .

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.