• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AWATAKA WAFANYABIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA

Imetumwa : June 8th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewaasa Wafanyabiashara ndani ya Mkoa kuchangamkia fursa zinazo jitokeza ndani ya jiji hilo na kutosubiri wawekezaji wa nje ili kuendana na juhudi za Serikali za kukuza Mkoa huo katika Mazingira ya kisasa kwa kutoa huduma bora ili kuimarisha biashara kwenye masoko ya ndani na nje nchi.

Senyamule ametoa wito huo leo Juni 8,2023 alipo fanya kikao kazi na wafanyabiashara mbalimbali wakiwemo Umoja wa wafanyabiashara masokoni, Wamiliki wa Shule, wamiliki wa Nyumba za wageni na Kampuni binafsi na katika ukumbi Ukumbi wa Jiji Mkoani humo.

"Sisi kama Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma tuna dhamira ya kuhakikisha wafanyabiashara wanakaa katika Mazingira mazuri, wanapata huduma bora na pamoja na huduma za maofisini ikiwemo kutoa Leseni kwa wakati ili juhudi za Serikali ziendane na sekta binafsi hivyo hakikisheni mnatumia fursa hizo ili kuendelea kuifaharisha Dodoma "Amefafanua Senyamule

Vilevile, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa huyo ametaja mambo mawili ambayo Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza ili kuhakikisha biashara zinafanikiwa kwa kiwango kikubwa .

" kama tunavyofahamu wote juhudi za Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa akitamani watu kufanya biashara kwanza kwa kutuelekeza sisi alietupa dhamana katika ngazi mbalimbali kila mtu kujali na kuthamini Mazingira ya wafanyabiashara

"Pili amekuwa akiimarisha miundombinu ya biashara ili kuweza kujitoshereza kwa wafanyabiashara na kurahisisha shughuli zao" Amesisitiza Senyamule

Nae, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu

amewapongeza wafanyabiashara kwa kujumuika pamoja ili kuweza kuwasilisha changamoto zilizopo ndani ya masoko na kuyafanyia ufumbuzi. Pia, amewasisitiza zoezi hilo kuwa endelevu ili kupata wasaa wa kutatua changamoto kwa wakati pindi zinapojitokeza.

" ili kuhakikisha eneo letu la Makao Makuu kuwa eneo sahihi na wezeshi la wafanyabiashara lazima kuwa na mahali sahihi pakufanya biashara ambalo halitakuwa na changamoto ili biashara ziweze kushamiri na kuweza kupata faida ninyi binafsi ngazi ya mmoja mmoja na serikali kwa ujumla" Amesema Gugu

Awali kikao hicho kilianza kwa uwasilishaji wa changamoto zilizopo ndani ya masoko na zikapatiwa ufumbuzi na kwa pamoja kuja na maazimio mbalimbali ya kiutendaji.Pia kikao hicho kilihudhuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri.


d

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.