• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI INATAMBUA UMUHIMU WA DINI NA TAASISI ZA KIDINI RC -SENYAMULE

Imetumwa : February 5th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametoa tamko hilo leo Februari 05, 2024 alipofanya ufuatiliaji wa Taasisi ya Ally-Habshi inayojishughulisha kutoa mafundisho ya Madrasa kufuatia kukamatwa kwa Mwalimu wake Bw. Yusuph Mohamed kwa tuhuma za kukutwa akitoa mafundisho ya Dini kwa watoto 132 kwenye mazingira hatarishi yasiyo na huduma muhimu za Kijamii.

Akizungumza na waandishi wa Habari wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye uhitaji kilichopo Kata ya Kikombo Jijini Dodoma ambacho ndicho watoto hao walipelekwa baada ya kutolewa kwenye maeneo waliyokutwa Mtaa wa Sogeambele na Nkuhungu kufuatia kukamatwa kwa Mwalimu wao.

Mhe. Senyamule amesema Serikali inatambua umuhimu wa Dini,Taasisi za Dini na nafasi ya viongozi wa Dini zote katika kujenga kizazi chenye hofu ya Mungu na kuwa na maadili mema.

Hata hivyo, ameongeza kuwa Mafunzo ya Dini kwa watoto ni jambo lenye umuhimu mkubwa na linaugwa mkono na Serikali kwani Mkoa unashirikiana kwa Karibu na viongozi wa dini katika mikakati mbali mbali ya maendeleo ya Mkoa.

“Taasisi ni lazima kabla ya kuanzishwa, ifuate vigezo vyote vinavyotakiwa vya kijamii, naelekeza usajili na uendeshaji wa makao ya watoto ufuate utaratibu.

“Taarifa ya awali ya ukaguzi wa miundombunu ya Taasisi hii imebainisha ukiukwaji wa sheria. Viongozi wa mitaa na vijiji hakikisheni munatambua wageni wote wanaoingia katika maeneo ya utawala pamoja na kufuatilia shughuli wanazozifanya” Amesema Mhe. Senyamule.

Tukio hilo lilitokea Februari Pili 2024 wakati Timu ya Mkoa ilipofika katika vituo vya Taasisi hiyo vilivyopo maeneo ya Nkuhungu na Chihanga baada ya kupata taarifa ya uwepo wa  vituo hivyo na kubaini baadhi ya watoto ambao wametoka Dodoma na mikoa ya jirani kama vile Arusha na Manyara kupatiwa mafunzo hayo.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.