• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YA TOA MILIONI 50 KWA WAKAZI WA CHANDAWA.

Imetumwa : June 20th, 2023

Kijiji cha Chandama Wilayani Chemba Mkoani Dodoma ni miongoni mwa vijiji vilivyopatiwa fedha na Serikali  kiasi cha Shilingi Milioni 50 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati.

Akiwasalimu wakazi wa Chandama katika ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambae hii leo yuko wilayani Chemba, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema fedha hizo zimeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya.

"Wilaya ya Chemba imepatiwa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya miradi ya maendeo ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, nishati na maji. Pia tuna miradi mikubwa miwili ya kimkakati ambayo ni ujenzi wa barabara kati ya Singida na Manyara na ujenzi wa bwawa la Farkwa ambalo kukamilika kwake kutasaidia upatikanaji wa maji ya uhakika." Senyamule amesisitiza.

Senyamule pia ametumia hadhara hiyo kukemea vikali vitendo vya unyanyasaji wa kijiinsia vinavyofanywa na baadhi ya wanaume katika Kijiji cha Chandama na kuonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukiwa dhidi ya wote watakaobainika kuhusika na vitendo hivyo.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo kwa nyakati tofauti ametoa msukumo katika suala la elimu kwa kuhimiza jamii kuacha mila potofu za kutoelimisha watoto wa kike na kiume.

"Acheni kuwaozesha watoto mapema, acheni kuwapeleka mijini kufanya kazi za ndani, simamieni mila, desturi na maadili yetu ya kitanzania. Wazazi timizeni wajibu wenu. Acheni kulea watoto kama mayai, biskuti ama boksi" Chongolo amekemea

Ziara ya ndugu Daniel Chongolo Mkoani Dodoma imeingia siku ya sita hii akiwa Chemba kukagua miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na miradi ya Afya, Elimu, miundombinu, nishati na maji.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.