• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANROAD YATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS

Imetumwa : January 31st, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki zoezi la upandaji miti katika barabara za pembeni mwa barabara ya iyumbu  kuelekea Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) zinazosimamiwa na TANROAD Mkoa wa Dodoma Leo tarehe 31 Januari 2024.

Akizungumza na wananchi, wanafunzi na watumishi waliojitokeza kushiriki  katika zoezi ilo Rc Senyamule amesema TANROAD wametekeleza ipasavyo maagizo ya Makamu wa Rais  Dkt . Philip Mpango ambaye amekua  akisisitiza juu ya  upandaji miti katika Mkoa huo kupitia kampeni ya 'kijanisha Dodoma'.

Amesema kila mmoja anawajibu wa kupanda miti angalau mitano katika mazingira yanayomzunguka ili kuwezesha mazingira yake kuwa ya Kijani na kutekeleza maagizo ya Viongozi wao.

“Kila mtu anawajibu wakutunza na kupanda miti kwasababu inafaida nyingi katika  maisha ya Kila siku ya mwanadamu , tena hakikisheni miti inayopandwa inahudumiwa vizuri ili iweze kukua na kustawi vizuri na sio muishie kupanda tuu mkaitelekeza hakikisheni mnakua na uangalizi mzurii  ili tufikie matarajio tuliyojiwekea ya kupendezesha Mkoa wetu,” amesema Senyamule. 

Kwa upande wake Menaja wa TANROAD Mkoa wa Dodoma Bi.Zuhura Amani ameahidi na kumuhakikishia Rc Senyamule kuitunza vyema Miti hiyo ili kuhakikisha inastawi vyema na kwa ubora uliokusudiwa ili kuhakikisha Dodoma Inakua ya Kijani Muda wote.

Zoezi la kupanda miti linaendelea katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni kuelekea kilele cha Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwezi  April Mwaka huu.




#Kijanisha Dodoma

#Dodoma ya Kijani Inawezekana

#panda Miti ikutunze 

#miti ni uhai

#Dodoma fahari ya Watanzania












Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.