• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TIMU YA OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA KUSHIRIKI SHIMIWI 2022

Imetumwa : September 30th, 2022

Baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa Dodoma wamekwenda kushiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), yanayotarajiwa kuanza Tarehe 01 Oktoba hadi tarehe 16 Oktoba 2022 huko Mkoani  Tanga .

Mashindano hayo yatafanyika katika viwanja tofauti tofauti  nane ambavyo ni  Viwanja vya Mkwakwani ,Shule ya Sekondari Popatlal, Galanos sekondari, Bandari,Shule ya Tanga, Polisi Chumbageni na Viwanja vya Gymkhana. Mashindano hayao yakishirikisha timu mbalimbali kama vile mpira wa miguu, mpira wa pete,riadha, kuvuta Kamba na kukimbia.

Mgeni rasmi katika mashindano ya SHIMIWI anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Kassim Majaliwa. Mashindano hayo yatafunguliwa rasmi Oktoba 5. Kauli mbiu ya mashindano ya SHIMIWI 2022 ni ``Michezo hupunguza magonjwa yasiyo ambukiza na kuongeza tija mahala pa kazi``.

 

Nahodha wa timu ya Mkoa Bw.Victor Makayula, amesema timu ya mpira wa miguu  imejipanga kurudi na tshindi kutokana na kujiandaa vema kukabiliana na wapizani wao. ``Tumejipanga vyema kwani tulikua tunafanya mazoezi kila siku na vijana wangu wote wapo imara kabisa, Mkuu wetu wa Mkoa Mhe. Rosemary Senyamule ategemee vijana wake tutarudi na Kombe kwani tunakwenda na kauli mbiu yetu ya Dodoma, Fahari ya watanzania, hivyo lazima tuiheshimishe Makao Makuu ya nchi. 

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Dkt . Fatuma Mganga, Katibu Tawala msaidizi – Utawala Bw. Alois Muogofi amewataka wanamichezo hao kujiamini na kuuwakilisha vyema Mkoa wa Dodoma ambayo ndio makao makuu ya nchi.Aidha kwa niaba ya Dkt. Mganga, Bw. Muogofi  amewaombea kwa   Mwenyezi Mungu awatunze,awaongoze vyema ili waweze kushinda.  

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma imewakilishwa na wanamichezo zaidi ya 35 ambao watashiriki michezo ya mpira wa miguu, mpira wa pete,riadha, kuvuta Kamba na kukimbia. MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.