• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“TUPO TAYARI KUPENDEZESHA DODOMA" PROF.USILUKA

Imetumwa : September 13th, 2022

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, UDOM, Prof. Lughano Jeremy Kusiluka, amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ofisini kwake kwa lengo la kujitatambulisha.Prof. Lughano ni Makamu Mkuu mpya wa Chuo Kikuu UDOM,akiwa ameteuliwa hivi karibuni akitokea katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo Mkoani Morogoro.

Mkuu wa Mkoa amempokea Makamu huyo na kumueleza matamanio ya Mkoa wa Dodoma hasa kwa Taasisi kubwa kama UDOM.Mhe.Senyamule amemweleza Prof. Lughano Jeremy kuwa anatarajia  kuona  matokeo yanayotokana na uwepo wa Chuo hicho kwa Mkoa mzima wa Dodoma, kwani anaamini kuna wataalamu wa kutosha kuweza kutoa mawazo ya kuanzishwa kwa vivutio mbalimbali ambavyo vitavutia watalii wa ndani na nje ya Tanzania kuitembelea Dododma ikiwa ndio Makoa makuu ya nchi ya Tanzania.

Hata hivyo, Mhe. Senyamule ameendeelea kusisitiza suala la utunzaji wa mazingira kwa kuwa Chuo kina wataalamu wa kutosha kuweza kubuni mbinu mbalimbali zitakazosaidia kwenye utunzaji wa mazingira kwani Dodoma inahitaji kuwa safi wakati wote ifanane na makao makuu ya nchi.

“Tunaendelea na kampeni ya kuifanya Dodoma ya kijani, na nyinyi ndio wa kutusaidia kwa hilo kwani mna rasilimali ya wataalamu wa kutosha kuifanya Dodoma ya kijani na safi” RC Senyamule

Tunatakiwa kusaidia kuinua uchumi kwa wakazi wa Dodoma hasa wanaoishi vijijini kwani wanatakiwa kufanana na hadhi ya Mkoa. Wengi wanategemea Kilimo na tayari Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha njia ya uwekezaji katika Sekta ya kilimo hivyo tunahitaji wataalamu kusaidia katika hilo.

Makamu huyo wa UDOM amesema kuwa wameshaanza vikao kwa ajili ya kampeni ya kuipendezesha Dodoma kwani wataalamu hao wapo. Pia ameongeza kuwa mpaka sasa Chuo kina wanafunzi 32,000 na wafanyakazi 1,300 na wanatarajia kuongezeka kila mwaka na hii yote ni rasilimali ya kutosha kuibadilisha Dodoma.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.