• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUSISUBIRI SIKU ZA USAFI WA MAZINGIRA DUNIANI-MAVUNDE

Imetumwa : June 2nd, 2023


Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha mazingira yote yako safi sambamba na kutokomeza Mifuko ya Plasitiki iliyopigwa marufuku kwa kuzingatia hadhi ya jiji hilo na kwa kuongozwa na kauli mbiu ya mwaka huu ya maadhimisho ya Mazingira Duniani ambayo ni "PIGA VITA TAKA ZA PLASITIKI "

Mavunde ametoa wito huo leo tarehe Juni 2,2023 wakati aliposhiriki zoezi la kufanya usafi ikiwa ni shamra shamra za wiki ya usafi wa Mazingira kwa vitendo ulioanzia katika viwanja vya Kona ya Meya wa Jiji na Mtaa wa Makole jijini humo.

"Natoa rai kwa wafanyabiashara wote na wananchi wote kwa ujumla hususani wa jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Taasisi za Serikali likiwemo Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) pamoja na Serikali za Mtaa kuhakikisha tunatokomeza Mifuko ya plastiki na kusimamia masuala ya usafi na uhifadhi wa mazingira katika maeneo yetu .

"Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anafanya kazi kubwa sana ya kuliendeleza jiji letu la Dodoma na hapa ni Makao Makuu ya Nchi, ukienda Duniani kote moja ya sifa za Majiji ni Usafi wa Mazingira, hivyo niwaombe isiwe tu tunasubiri siku za Usafi wa Mazingira Duniani lakini usafi uwe Utamaduni wetu", Amefafanua Mavunde

"Dodoma lazima iwe safi iendane na hadhi tuliopewa, haiwezekani tukawa na jiji kubwa kama hili ambalo ni Makao Makuu ya Serikali likawa na taka zimeenea kila sehemu, sisi tuwe Mabalozi wa kwanza kwa kuhakikisha Dodoma yetu inakuwa safi sababu ndio sifa mojawapo ya Majiji na Miji Mikuu Duniani Kote",Amesisitiza Mavunde

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Godwe ambaye anakaimu pia Wilaya ya Dodoma kadhalika amemwakilisha amesema suala la usafi na Mazingira katika Mkoa wa Dodoma ni endelevu ni jambo ambalo linaufaharisha Mkoa wa Dodoma kwa kutunza Mazingira na kufanya Usafi hivyo amewapongeza Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa kuendelea kusimamia agenda ya mazingira nchini

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.