• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“TWENDENI WOTE TUKAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI LA MKAAZI “ - MHE. NSEMWA

Imetumwa : October 9th, 2024

 Na; Happiness E. Chindiye

      Habari - H/ Bahi

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe. Rebeca S. Nsemwa ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya hiyo, Dodoma na nchi kwa ujumla kujitokeza kwenye zoezi la uandikishaji kwenye orodha ya daftari la Mkazi zoezi litakaloanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024.

Wito huo umetolewa leo tarehe 09.10.2024 wakati wa uzinduzi wa Bonanza la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiwa ni sehemu ya hamasa ya uandikishaji kwenye daftari la mkaazi lililofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Bahi Misheni.

“Nitoe wito kwenu, twende wote tukajiandikishe kwenye daftari la mkazi ambalo litatumika kwenye uchaguzi wa viongozi wetu wa serikali za mitaa utaokafanyika tarehe 27 Novemba, hivyo tujitokeze mapema tusisubiri siku za Mwisho” - Mhe. Nsemwa

Naye, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bahi Bw. Boniface Willison amewahamasisha watumishi wote wa serikali kuwa mstari wa mbele kujitokeza kujiandisha na kuhamasisha wengine na kutoa elimu kwa wananchi ili kupata nafasi ya kuchagua viongozi wa serikali za mtaa.

Bonanza hilo limehusisha michezo mbalimbali ikiwemo timu za mpira wa miguu, kukimbia na yai mdomoni, kukimbia na gunia, kuvuta kamba, Ngoma za asili, muziki wa kizazi kipya na nyimbo.


&&&

#dodomatwendenitukajiandikishe 

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.