• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ujumbe Kutoka Serikali ya Watu wa Norway watembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dododma

Imetumwa : September 7th, 2022

Ujumbe wa watu wa Serikali ya Norway leo umetembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dododma.Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema kuwa ujumbe, huo ukiongozwa  na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje Norway Mhe. Anna ambaye ameambatana na Balozi wa Norway nchini Tanzania  Mhe. Elizabeth, Balozi wa Tanzaia nchini Norway Mhe.Grace pamoja na wataalamu mbalimbali kutoka nchini Norway wametembelea Tanzania ili  kuona maendeleo ya miradi ya TASAF.

Norways ni nchi ambayo inasaidia Tanzania kupambana na umaskini kupitia mfuko wa TASAF ambao kwa  sasa upo katika awamu ya Tatu ya utekelezaji wake ambao ulianza mwaka jana.Lengo la ujio huo, ni kuja kufanya ufuatiliaji wa miradi ya TASAF  Tanzania .

"Niushukuru ujumbe huu kwani Tanzania ian mikoa 26 lakini wao wamependelea   kutembelea makao makuu ya  nchini Mkoani Dodoma.Wakiwa Mkoani Dodoma Ujumbe Watu wa Norway utatembelea Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kuwakilisha wilaya zingine za mkoa wa Dodoma ili kujionea  hali halisi ya utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Dodoma".Amesema RC Senyamule.

"Pamoja na kusaidia kuondokana na umaskini nchini Tanzania,  TASAF inajihusisha na masuala ya Mazingira na hasa mabadiliko ya tabia nchi''. Amesema Mhe.Anna. Hivyo Serikali ya Norway imeahidi kuongeza fedha ambazo zitatumika katika  masuala ya tabia Nchi. Aidha Serikali ya Norway imeahidi ushirikiano katika masuala ya Kilimo ambayo yanagusa kundi kubwa la Watanzania.

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, ameueleza ujumbe huo kuwa 80% ya \watanzania ni Wakulima na 72% watu wa Dodoma wanajishughulisha na kilimo hivyo msaada katika sekta ya kilimo utasaidia katika  kupunguza umaskini kwa kiasi kikubwa. Aidha Mhe.Senyamule amewakaribisha wafanyabiasha wa Norway kuja kuwekeza Dodoma kwani Dodoma  ni makao makuu ya Nchi na ipo katikati ya Tanzania na hivyo inafikika katika maeneo mengine yote ya  nchi kwa urahisi.Mhe Senyamule ameufahamisha ujumbe huo kuwa pamoja na Uwekezaji Tanzania imebarikiwa na maeneo mengi yenye vivutio vingi vya utalii kama vile  Serengeti,Ngorongoro, Manyara na maeneo mengine mengi, hivyo pamoja na uwekezaji Tanzani ni mahali salama na pazuri kwa utalii.

"Katika kipindi cha kuanzia Januari 2021 hadi Juni 2022,Mkoa wa Dodoma umepokea kiasi cha Tsh.11,409.402,636/- ambazo zimepokelewa kutoka TASAF Management Unit na  kusambazwa kwenye halmashauri 8 ( Project Area Authority). Kati ya fedha hizo Jumla ya Tsh.10,040,274,319/-, zimetumika kuwalipa wanufaika 71,669 kati ya 80,317 kutoka katika vijiji 564 na mitaa 231. Aidha, katika kipindi cha Mei hadi June,2022 Mkoa wa Dodoma umepokea kiasi cha Tsh. 3,067,680,484/- zilitolewa na uongozi wa TASAF kwa ajili ya malipo kwa wajane.Mpaka sasa Tsh. 596,601,000/- zimelipwa kwa kaya 13,977 ambazo ni sawa na 19% ya wanufaika ". Amesema Mratibu wa TASAF Mkoa wa Dodoma Bw. Bogit Semhanda.

Dododma.Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema kuwa ujumbe, huo ukiongozwa  na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje Norway Mhe. Anna ambaye ameambatana na Balozi wa Norway nchini Tanzania  Mhe. Elizabeth, Balozi wa Tanzaia nchini Norway Mhe.Grace pamoja na wataalamu mbalimbali kutoka nchini Norway wametembelea Tanzania ili  kuona maendeleo ya miradi ya TASAF.

Norways ni nchi ambayo inasaidia Tanzania kupambana na umaskini kupitia mfuko wa TASAF ambao kwa  sasa upo katika awamu ya Tatu ya utekelezaji wake ambao ulianza mwaka jana.Lengo la ujio huo, ni kuja kufanya ufuatiliaji wa miradi ya TASAF  Tanzania .

"Niushukuru ujumbe huu kwani Tanzania ian mikoa 26 lakini wao wamependelea   kutembelea makao makuu ya  nchini Mkoani Dodoma.Wakiwa Mkoani Dodoma Ujumbe Watu wa Norway utatembelea Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kuwakilisha wilaya zingine za mkoa wa Dodoma ili kujionea  hali halisi ya utekelezaji wa miradi ya TASAF mkoani Dodoma".Amesema RC Senyamule.

"Pamoja na kusaidia kuondokana na umaskini nchini Tanzania,  TASAF inajihusisha na masuala ya Mazingira na hasa mabadiliko ya tabia nchi''. Amesema Mhe.Anna. Hivyo Serikali ya Norway imeahidi kuongeza fedha ambazo zitatumika katika  masuala ya tabia Nchi. Aidha Serikali ya Norway imeahidi ushirikiano katika masuala ya Kilimo ambayo yanagusa kundi kubwa la Watanzania.

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, ameueleza ujumbe huo kuwa 80% ya \watanzania ni Wakulima na 72% watu wa Dodoma wanajishughulisha na kilimo hivyo msaada katika sekta ya kilimo utasaidia katika  kupunguza umaskini kwa kiasi kikubwa. Aidha Mhe.Senyamule amewakaribisha wafanyabiasha wa Norway kuja kuwekeza Dodoma kwani Dodoma  ni makao makuu ya Nchi na ipo katikati ya Tanzania na hivyo inafikika katika maeneo mengine yote ya  nchi kwa urahisi.Mhe Senyamule ameufahamisha ujumbe huo kuwa pamoja na Uwekezaji Tanzania imebarikiwa na maeneo mengi yenye vivutio vingi vya utalii kama vile  Serengeti,Ngorongoro, Manyara na maeneo mengine mengi, hivyo pamoja na uwekezaji Tanzani ni mahali salama na pazuri kwa utalii.

"Katika kipindi cha kuanzia Januari 2021 hadi Juni 2022,Mkoa wa Dodoma umepokea kiasi cha Tsh.11,409.402,636/- ambazo zimepokelewa kutoka TASAF Management Unit na  kusambazwa kwenye halmashauri 8 ( Project Area Authority). Kati ya fedha hizo Jumla ya Tsh.10,040,274,319/-, zimetumika kuwalipa wanufaika 71,669 kati ya 80,317 kutoka katika vijiji 564 na mitaa 231. Aidha, katika kipindi cha Mei hadi June,2022 Mkoa wa Dodoma umepokea kiasi cha Tsh. 3,067,680,484/- zilitolewa na uongozi wa TASAF kwa ajili ya malipo kwa wajane.Mpaka sasa Tsh. 596,601,000/- zimelipwa kwa kaya 13,977 ambazo ni sawa na 19% ya wanufaika ". Amesema Mratibu wa TASAF Mkoa wa Dodoma Bw. Bogit Semhanda.MWISHO.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.