• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA KUPAMBANA NA UKIMWI WA MKOA WA DODOMA, JANUARI 25, 2018

Imetumwa : January 25th, 2018

YALIYOJIRI WAKATI WA UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA KUPAMBANA NA UKIMWI WA MKOA WA DODOMA MAKAO MAKUU YA NCHI, JANUARI 25, 2018

MGENI RASMI RC DODOMA DKT. BINILITH MAHENGE

 

#Dkt. Mahenge: Mpango Mkakati huu mpya wa kupambana na UKIMWI wa Mkoa wa Dodoma umezingatia uhamiaji wa Watu hapa Mkoani Dodoma wakizifuata fursa zinazotokana na Serikali kuhamia hapa Dodoma Makao Makuu ya Nchi.

#Dkt. Mahenge: Mamlaka zote zinazohusika na wadau mbalimbali zingatieni vipaumbele vilivyoainishwa kwenye Mpango Mkakati ili kufikia lengo la Kidunia na Kitaifa la kuhakikisha angalu 90% ya watu wenye VVU wanajua hali zao, 90% ya watu waliojua hali zao waanze kutumia Dawa na kati yao 90% wawe wamefubaza Virusi hivyo kupunguza uwezo wa kuambukiza (90-90-90) ifikapo 2020.

#Dkt. Mahenge: Pia mamlaka zizingatie vipaumbele kuhakikisha 2030 maambukizi mapya yanakuwa sifuri,  Unyanyapaa sifuri na vifo vitokanavyo na ukimwi sifuri (0-0-0)

#Dkt. Mahenge: Kila Wizara na Idara zinata zihakikishe zinaandaa Sera ya UKIMWI mahala pa kazi na kuwapa stahiki zao watumishi wanaoishi na VVU

#Dkt. Mahenge:. Wadau wa Mkoa wa Dodoma jukumu lenu ni kutafsiri mpango mkakati huu kwenye Mazingira  yenu ili kuweza kutumia katika kupanga mipango yenu.

#RAS Dodoma Ndg. Rehema Madenge: Mchakato wa kuandaa Mpango Mkakati mpya wa Kupambana na UKIMWI wa Mkoa wa Dodoma ulichagizwa na uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma.

#RAS Dodoma Ndg. Rehema Madenge: Mkakati huu wa miaka mitatu 2017/2018 - 2020/2021 ni shirikishi kwa maana umehusisha wadau mbalimbali kwenye ngazi zote muhimu na utekelezaji wake pia utakuwa shirikishi.

#Ndg. Richard Ngirwa (Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TACAIDS): Matokeo ya Utafiti wa Matokeo ya Viashiria vya VVU na UKIMWI uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo (2016/17) yamethibitika kuwa kiwango cha Maambukizi ya UKIMWI nchini ni asilimia 4.8 kwa wanawake na wanaume wa umri wa miaka 15 -49.

#Ndg. Richard Ngirwa: Wito kwenye jamii kila mtu ana wajibu na mchango mkubwa katika mapambano dhidi ya UKIMWI tusiischie Serikali peke yake.  

 

Imetolewa na:

OFISI YA MKUU WA MKOA

DODOMA

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.