• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIFAA VYOTE VINUNULIWE NA VIWEPO ENEO LA UJENZI-RAS MMUYA

Imetumwa : February 25th, 2025

Na.Sofia Remmi

Habari- RS Dodoma


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar  K. Mmuya amefanya ziara ya kukagua miradi ya Kimkakati Katika Halmashauri ya Wilaya za Chemba na Kondoa Mji, Februari 25,2025 .


Katika ziara hiyo Katibu Tawala  alitembelea; Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Maalum ya wavulana ya Kanda inayogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 4,1000,000,000.Mradi wa Shule Mpya ya Sekondari Kidoka  unaogharimu kiasi cha Shilingi 443,597,084 na mradi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Ufundi wa Amali Kata ya Kingale inayogharimu kiasi cha shilingi 544,225,626.00


Akizungumza akiwa katika ziara hiyo, Katibu Tawala Mmuya amesema,


 "Mhe.Rais ametoa fedha nyingi kwenye miradi hii ya kimkakati, jukumu  lililobaki lipo kwenu la kununua vifaa vyote na viwepo eneo la ujenzi na sio mtu anajiamulia tu kununua vifaa kidogo kidogo,jambo hilo hapana vifaa vinunuliwe vyote.


Mradi hii itakuja kuwasaidia sana Vijana wetu, hivyo muda uliopangwa kukamilisha  uzingatiwe, na hatutaki kuona mnavuka kipindi mlichopewa cha kukamilisha.


Fedha zilizoletwa ni nyingi katika miradi hii, hivyo fedha hizo zitumike vizuri ili miradi yote ikamilike kwa weledi na kwa ufanisi,ili vijana wetu waje kunufaika na miradi hii ikiwemo kuwaletea elimu kwa wakati zaidi” amesema RAS Mmuya.


Hata hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa ndugu Said Majaliwa amesema,


 "tutahakikisha miradi yote inatekelezwa kwa wakati na kwa weledi ili azma ya Mhe Rais wetu ya kutaka kutatua changamoto kwenye sekta ya Elimu ikamilike kwa weledi zaidi.



#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.