• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIKUNDI VYA KIJAMII VYA MTEMBELEA RAS DODOMA

Imetumwa : December 3rd, 2024

Na; Happiness E. Chindiye 

Habari - Dodoma RS 


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya leo tarehe 03.12.2024 amepokea ugeni kutoka kwa wanachama na Viongozi wa vikundi vya Dodoma Legends na Friends of Mavunde ofisini kwake Jengo la Mkapa Jijini hapa.

Kundi la 'Dodoma Legends', ni kundi la Whatsapp lililosajiliwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kama kundi la kijamii kwa ajili ya Maendeleo na lina idadi ya wanachama zaidi ya 1000 ambao ni mchanganyiko wa baadhi ya wafanyabiashara, wajasiriamali, viongozi wa Serikali, viongozi wa siasa walio ndani na nje ya Mkoa wa Dodoma wote wakiwa na lengo la kushiriki katika kuuletea maendeleo Mkoa wa Dodoma.

Lengo la ugeni huo ni kujitambulisha na kutoa taarifa ya shughuli walizopanga kufanya tarehe 14/12/2024 ambazo ni kutoa misaada na kukarabati kituo cha Watoto yatima Ndachi,

kushiriki mbio za pole (jogging) kwa kushirikiana na jogging clubs za Dodoma Mjini na kuchangia Damu katika eneo litakaloandaliwa ndani ya viwanja vya Chinangali Park

Kwa upande wao 'Friends of Mavunde', wameeleza kuwa wamekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha shughuli za maendeleo kwenye Mkoa wa Dodoma kama vile kuhamasisha kujiandikisha kupigakura, kuhamasisha kupiga kura, kuhamasisha Amani na umoja kwa vijana na pia kuwaunganisha na kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za uzalishaji.

&&&

#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#birthdayyangumtiwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.