• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KUJISAJILI KWENEY KILIMO

Imetumwa : February 16th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amefungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa biashara, Maafisa Maendeleo ya jamii na Maafisa TEHAMA juu ya usajili wa wafanyabiashara ndogondogo kwenye Mfumo wa utambuzi leo Februari 16, 2024 kwenye ukumbi wa ofisi yake iliyopo Jijini Dodoma.

Mafunzo hayo yanalenga kuchochea maendeleo ya wafanyabiashara ndogondogo nchini ambayo ni ajenda ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wafanyabiashara watambuliwe na waunganishwe na mifumo ya fursa za kiuchumi.

"Jukumu lililopo mbele yetu baada ya mafunzo haya ni kwenda kufanikisha zoezi la utambuzi, usajili na wa vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogondogo nchini hasa kwa Mkoa wetu wa Dodoma. Tunategemea juhudi zenu za kujituma katika kusimamia zoezi hilo kwa karibu pamoja na kushirikiana na Maafisa Mkoa ili kufikia lengo lililokusudiwa" Amesema Mhe. Senyamule.


Mkuu wa Mkoa huyo ameongeza kuwa, Mfumo wa utambuzi, usajili na utoaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogondogo nchini, umekamilika baada ya kufanyiwa maboresho makubwa ili uweze kutoa vitambulisho vya kidijitali kwa wafanyabiashara ndogondogo kote nchini.


Aidha, Mfumo huo utasaidia katika kuwatambua wafanyabiashara ndogondogo na kuwasajili, kutoa vitambulisho vilivyounganishwa na Mfumo wa NIDA pamoja na kutoa vitambulisho vitakavyowawezesha wafanyabiashara ndogondogo kupata fursa zaidi za kiuchumi ikiwemo mikopo yenye masharti nafuu kutoka kwenye Taasisi za fedha.


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.