• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAFANYAKAZI WA VITUO VYA AFYA MKOANI DODOMA WAPEWA MAFUNZO YA UCHAKATAJI WA TAARIFA

Imetumwa : November 6th, 2024

Na;Happiness E. Chindiye

    Habari - Dodoma Rs


Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya leo Novemba 06, 2024 amefungua mafunzo ya uchakataji wa taarifa kwa wafanyakazi wa vituo vya afya Mkoani Dodoma.


Mafunzo hayo yamefanyika kwenye ukumbi wa New Dodoma Hotel,na yameandaliwa na shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha  na kuboresha mifumo ya afya ,ambapo yanalenga kuboresha ujuzi wa wafanyakazi  katika ukusanyaji ,uchakataji na matumizi sahihi ya taarifa za afya ili kuimarisha huduma za afya katika maeneo yao.


Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, mkurugenzi wa Miradi wa  HISP Tanzania,Dr.Wilfred Senyoni,amesisitiza umuhimu wa matumizi bora ya taarifa za afya katika kusaidia mipango na maamuzi bora katika sekta ya afya.


 “Mafunzo haya ni hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa wafanyakazi wetu wanakuwa na uwezo wa kutumia teknolojia mpya na mbinu za kisasa katika uchakataji wa taarifa za afya," alisema Dr Senyoni.


Wafanyakazi wa vituo vya afya wameshiriki kwa wingi katika mafunzo haya, na kutoa maoni kuhusu changamoto wanazokutana nazo katika uchakataji wa taarifa.


Aidha ,Wafanyakazi hao wamejifunza mbinu mbalimbali za uchakataji wa taarifa pamoja na matumizi ya mifumo ya kidijitali ambayo itawawezesha kuboresha utoaji huduma kwa wateja.


HISP Tanzania imejizatiti kusaidia Watumishi wa Afya kwa kuwapatia elimu na ujuzi unaohitajika ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi zaidi.


Juhudi zote hizo zinafanyika ili  kuhakikisha kuwa vituo vya afya vya mkoa wa  Dodoma, vinakuwa na taarifa sahihi,zinazoweza kutumika katika kutoa huduma bora za afya kwa jamii.


&&&


#kurayakosautiyako

#ujanjanikupigakura

#dodomatukotayarikupigakura

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.