• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAWAKE WAHIMIZWA KUWA WA MFANO KWA KUMTEGEMEA MUNGU

Imetumwa : October 14th, 2024

Na. Hellen M. Minja

       Habari - DODOMA RS


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, leo Oktoba 14, 2024, ameongoza hafla ya 'Mwanamke wa Mfano' iliyoandaliwa na huduma ya 'Love of Christ' kwa lengo la Mwanamke kujifunza kuwa wa Mfano katika jamii ndani ya ukumbi wa hoteli ya Four point, Kisasa Jijini Dodoma.

Katika hafla hiyo iliyoongozwa na kauli mbiu ya "Mwanamke wa Mfano, anachagua fungu lililo sahihi" pamoja na Neno kutoka kwenye kitabu cha Biblia Takatifu Luka 10:42, Mhe. Senyamule amehimiza suala la bidii katika utumishi;

"Serikali inatamani ipate watumishi wenye bidii, fanya bidii ikiwa unamtegemea Mungu. Uongozi unataka dhamira ya kuwatumikia wananchi. Kumtegemea Mungu kunataka kujitoa ili aoneshe karama na uwezo wako. Ukiamua kuwa wa Mfano, hakuna utakaloshindwa, weka dhamira ya dhati na umtegemee Mungu". Mhe. Senyamule

Hata hivyo, Mratibu wa hafla hiyo kutoka huduma ya 'Love of Christ' Bi Stella Shemdoe, amesema hiyo ni siku ya kijamii kwa Mwanamke kujifunza jinsi ya kuwa wa 'Mfano' kwenye jamii kwa kualika viongozi wa kijamii na wazungumzaji watakaozungumzia juu ya Mwanamke kuwa wa 'Mfano'.

Miongoni mwa wazungumzaji katika shughuli ni Bi Irene Mbowe ambaye alizungumzia kwa upana sifa za 'mwanamke wa Mfano'.

"Sifa za 'Mwanamke wa Mfano' ni tatu, kwanza anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Kanisa, familia na jamii. Mwanamke huyu anatakiwa kuleta mabadiliko ndani ya Kanisa, familia, jamii na hatimaye Taifa kwa ujumla" Amesema Bi. Mbowe

Huduma ya 'Love of Christ' huandaa hafla hiyo kila mwaka na ni endelevu katika siku za mapumziko ambapo huwa ni siku za kiroho ambazo huambatana na wanawake kujifunza dini, mafungo, maombi na malezi huku siku ya kwanza ikiwa ni ya kijamii.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.