• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANAWAKE WAITWA JAKAYA KIKWETE MACHI 3,KUSHIRIKI KONGAMANO

Imetumwa : March 1st, 2025

Na. Sizah Kangalawe Habari- DodomaRS


Wanawake wa Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida, mnakaribishwa kushiriki kongamano la wanawake ikiwa ni shamrashamra za kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika  Machi 8, kila mwaka.


Ukaribisho huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi Mosi, 2025 Ofisini kwake jengo la Mkapa Jijini Dodoma.


Mhe. Senyamule Amesema " lengo kuu la kongamano hilo ni kuongeza idadi ya  wanawake Ili kuwa na uwakilishi wa kutosha , kwenye nafasi za uongozi kuanzia ngazi ya msingi, kati na ya juu.


" Uwakilishi wa kutosha kwa wanawake wenye taaluma utasaidia kuwa na mipango inayozingatia mahitaji ya kijinsia kwa makundi yote ya kijamii", RC Senyamule


Hatahivyo Mhe. Senyamule amesema mpango wa kongamano hilo umelenga kuwajengea Wanawake  mtandao mpana wa mahusiano ili kuweza kushirikiana kupata taarifa na kuweza kutambua fursa mbalimbali zilizopo kwenye jamii na kuzitumia.


Mgeni rasmi katika kongamano hilo anatarajiwa kuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda.


Kongamano hilo linafanyika likiongozwa na kaulimbiu ya " Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji".


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.