• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA WELEDI

Imetumwa : May 3rd, 2023

Katibu Mkoa Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu amewataka Watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo inakamilika  ndani ya muda uliopangwa ili kuweka rekodi ya kukamilisha miradi ndani ya muda uliowekwa bila kuathiri viwango vya ubora unaokubalika.

Rai hiyo imetolewa Wilayani Kondoa katika kikao kazi baina yake na watumishi wa Halmashauri ya Mji Kondoa huku akihimiza weledi, uzalendo na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma kwa kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.

"Suala la maadili na weledi katika taaluma zetu ni muhimu sana na nitoe rai kwenu mjitume zaidi, tumieni fursa za uwekezaji na kuendelea kuwaelimisha wengineni ili Mkoa wa Dodoma uendelee kuwa fahari ya watanzania wote" Gugu amefafanua.

Amesema watumishi wana jukumu la kusimamia agenda ya Serikali ya kuhakikisha mipango iliyowekwa inatekelezwa kwa ufanisi katika ngazi zote huku akiangazia suala la hifadhi na usimamizi wa mazingira na kuwataka kuzingatia maelekezo ya Serikali na kutekeleza kwa vitendo Kampeni ya kukijanisha Dodoma.

“Simameni katika nafasi zenu, ili kwa pamoja mtimize malengo mliyojiwekea ya kujiletea maendeleo binafsi na taifa kwa ujumla. Natoa rai kila mmoja kusimama katika  nafasi yake katika kutimiza malengo na majukumu ya msingi. Wekeni utaratibu wa kutatua changamoto zenu kwa njia ya mazungumzo, ikiwa ni pamoja na kukwamua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wakati, hatutakubali miradi kutokamilika na kuvuka mwaka ifikapo tarehe 30 Juni 2023.

Halmashauri ya Mji Kondoa ni moja kati ya Halmashauri 8 zilizopo katika Mkoa wa Dodoma na ilianzishwa mwaka 2015 ikiwa ni ukubwa wa kilometa za mraba 703 na ipo katika Kata ya Chemchem, Mtaa wa Kwapakacha.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.