• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZAZI NA WALEZI WAASWA KUWA SEHEMU YA KUWALINDA WATOTO NA SIYO KUWA SEHEMU YA UKATILI

Imetumwa : September 28th, 2024

Na: Happiness E. Chindiye

       Habari - DODOMA RS


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule amewaasa Wazazi na Walezi kuwa sehemu ya kuwalinda Watoto, na sio kuwa  sehemu ya ukatili kwani Serikali haitafumbia macho,hivyo kila mmoja ahakikishe anaishi kwenye kauli mbiu ya Mkoa wa Dodoma inayosema “Nyumbani kwangu hakuna ukatili “.


Mhe. Senyamule amesema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya kongamano la vijana wa Scouts wa Mkoa huu (ROVAUTI ) leo tarehe 28.09.2024,lililofanyika  kwenye ukumbi wa mikutano wa chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Jijini Dodoma.


Hata hivyo ametoa maelekezo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii ngazi zote   kuungana na 'Scout' kutokomeza ukatilii unaofanyika.


Naye Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo ametaja nguzo tatu za 'Scout' ambazo ni Wajibu kwa Mungu,Wajibu kwa Wengine na Binafsi ambapo  utekelezaji wa nguzo hizo, umeimarisha nidhamu Mashuleni, na Wanafunzi wamekuwa wakakamavu.


Akisoma risala kwa Mgeni Rasmi kamishna wa Scout mkoa wa Dodoma Bi. Salama Katunda amesema chama hicho kina lengo la kumuendeleza kijana kimwili,kiakili,kijamii na kimtazamo ili awe raia mwema mwenye kujitegemea na mwenye msaada kwa jamii yake.


Wakati huohuo, Mkuu wa Mkoa ametoa wito kwa Vijana kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ili waweze kushiriki  Uchaguzi Mkuu ujao, wawachague  Viongozi ambao ndio msingi katika kukabiliana na ukatili.


Kongamano hilo lililofanyika kwa siku tatu, limeongozwa na kauli mbiu “ Ulinzi na Usalama wa mtoto ni jukumu letu sote “


&&&


#dodomatukotayarikujiandikisha

#Dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.