• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZAZI WAHAMASISHENI WATOTO KUSOMA KWA BIDII ; WAZIRI MCHENGERWA

Imetumwa : February 6th, 2025

Na: Sophia Remmi

 Habari - Dodoma RS


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka Wazazi  kuwahimiza watoto wao kwenda Shule.

Waziri Mchengerwa ameyasema hayo leo Februari 06, 2025 wakati wa hafla ya kukabidhiwa vyumba 18 vya madarasa na ofisi 6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, madarasa ambayo umaliziaji wake umefadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Programu ya Shule Bora Tanzania. Hafla hiyo imefanyika katika Shule ya mchepuo wa Kiingereza (Bahi English medium) Wilayani Bahi.

Akisisitiza kuhusu umuhimu wa elimu, Waziri Mchengerwa amesema "Mtaji wa wananchi wetu ni kuhakikisha watoto wetu wanasoma. Sisi tunaotoka ng'ambo ya miji, elimu ndio mtaji wetu.Wazazi wahamasisheni watoto kusoma kwa bidii. Elimu ni ufahamu wa maisha, elimu ni ufunguo"

Kwa upande wake  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule, amemshukuru  na kumpongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa anayoifanya, ambapo Wananchi sasa wanashuhudia mapinduzi makubwa katika kila sekta.

"Kwa upande wa elimu, Mkoa wetu wa Dodoma, kama alivyofanya nchi nzima ya Tanzania, na Dodoma amefanya kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa. Daktari Samia Suluhu Hassan ni Kiongozi wa kuleta majawabu. Sisi tulikuwa tunatumia nguvu nyingi kuwaamsha watoto kwenda Shule.Wakati mwingine hadi mama akuchape ndio unaamka kwenda Shule, ilikuwa kama kero, Mhe. Rais akaja na suluhisho rahisi, kuwa msipige watoto, wekeni vivutio shuleni, mkiweka vivutio mtoto anakwenda shule hata hutahangaika kumuamsha".

Naye, Balozi Mdogo wa Ubalozi wa Uingereza Sally Hedley aliyehudhuria hafla hiyo  pamoja na ujumbe wake alioambatana nao ambao ni Mtendaji Mkuu wa ofisi ndogo ya ubalozi wa Uingereza Jijini Dodoma Bi Godfrida Magubo, Mkuu wa Programu ya Shule Bora Tanzania Bi Virginie Briand pamoja na watendaji wengine wa Program hiyo,  ameipongeza Serikali hasa wizara mbili (2) zinazozimamia Programu hiyo ambazo ni Wizara ya Elimu na OR - TAMISEMI, huku akisisitiza kuwa elimu ni kipaumbele muhimu cha Serikali ya Uingereza  ndio sababu wanafadhili miradi mbalimbali  inayolenga kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi katika ujifunzaji.

Programu ya Shule Bora inatekelezwa katika mikoa tisa (9) ya Tanzania Bara na Halmashauri 67 tangu kuanza kwake mnamo mwaka 2021 na imefanya kazi nyingi zikiwemo utoaji wa mafunzo kwa walimu na ujenzi wa vyumba vya  madarasa.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.