• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI JAFO ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTEKELEZA AGENDA YA USAFI WA MAZINGIRA

Imetumwa : September 15th, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Watanzania kutekeleza agenda ya usafi wa mazingira kwani suala la usafi halina mjadala kila mtu anatakiwa kufanya usafi ili kujiepusha na maradhi yanayoweza kuepukika.

Mhe. Jafo ametoa wito huo leo Septemba 15, 2023 wakati alipoongoza zoezi la usafi kuelekea kilele cha siku  ya Mazingira Duniani ambayo huadhimishwa  kila mwaka  tarehe 16 Septemba, 2023  katika eneo la wafanyabiashara wadogo wadogo Machinga Complex  Jijini Dodoma.

Zoezi hilo pia limehudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe.Jabir Shekimweri,  wadau mbalimbali wa Mazingira, Taasisi za usafi ,timu ya mpira ya Machinga Complex pamoja na wafanyabiashara wa soko hilo .

"Agenda ya usafi haina mjadala kila mtu anatakiwa kufanya usafi ili kujiepusha na maradhi, haipendezi  baraza yako ya  nyumbani iwe chafu utegemee serikali  ikufanyie usafi, sehemu ya biashara yako, kwenye kampuni na maeneo ya kadha wakadha ."Amesisitiza Jafo

Amewaasa Wakuu wa Mikoa yote nchini kuhakikisha wanatekeleza agenda ya Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais ya  kuhakikisha kila Jumamosi muda kuanzia 12:00 hadi 3:00  watu wanafanya usafi kwenye Mazingira  yanayowazunguka.

Sanjari na hilo, Mhe.Jafo ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya serikali za mitaa kuhakikisha uchafu unaokusanywa uzolewa kwa wakati na kupelekwa dampo si kuuachwa kwa muda mrefu.

Amezielekeza Halmashauri zote na Manispaa  nchini hasa zile zenye mapato makubwa zaidi kwa mwaka  kuhakikisha wanaweka mikakati mizuru ya kununua magari ya kuzolea taka na kutengeneza madampo ya kisasa ili  kuachana na kasumba ya kuachia  kila kitu serikali .

Pia, amezielekeza Taasisi zingine ikiwa ni pamoja na Benki zote, TARURA, TANROADS, Mashirika, Viwanda ,Masoko na  wadau kutekeleza suala la usafi wa mazingira kwani ni jukumu la kila mtu hivyo kuhakikisha wanapanda miti ili kutengeneza mazingira mazuri.

Kwa Upande Wake, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema kama Mkoa wameendelea kufanya jitihada mbalimbali kwa kufanya upandaji wa mti katika chanzo cha maji bonde la Mzakwe pamoja na kwenye shule kadhaa ili kuimarisha mazingira .

Amesema Mkoa wa Dodoma hivi karibuni unatarajia kupokea magari mawili kwa ajili ya kuimarisha zoezi la usafi kwenye barabara zote Jiji. Huku akimuhakikishia uimarishwaji wa bonde la Mzakwe sambamba na jitihada mbalimbali zimeendelea kuchukuliwa ili kuimarsha ulinzi  pamoja vibao vya mpaka ,ufungaji wa kamera maalumu  kwa ajili ya kuona waharibu wa bonde kwa urahisi ,upandaji wa miti na kilinda moto (fire-break).

ReplyForward

WAZIRI JAFO ATOA WITO KWA  WATANZANIA KUTEKELEZA AGENDA YA USAFI WA MAZINGIRA. 

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.